Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki utakaofanyika tarehe 31 Julai mwaka huu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao juu ya kushiriki kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura au kuboresha taarifa zao ili kila mwananchi mwenye sifa za kuandkishwa akaandikishwe na yule anayeboresha taarifa zake akaboreshe.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa vibali kwa baadhi ya Asasi za Kirai kwa ajili ya kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa nchi nzima litakaloanza Julai, 2019.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itaboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, awamu ya kwanza kuanzia mwezi Julai, 2019 kwa kutumia Teknolojia ya kieletroniki ya Biometriki (BVR).
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mbarouk Salum Mbarouk amewataka wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kuzingatia matakwa ya Katiba na Sheria.