Tume yatangaza Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Amani
Imewekwa: November 02, 2022
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi za muda za Watendaji wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Amani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Tanzania Zanzibar, unaotarajiwa kufanyika tarehe 17 Desemba mwaka 2022. Bofya hapa kupata tangazo Kamili.