Tume yafanya Uteuzi wa Madiwani 10 Wanawake wa Viti Maalum katika Kata 10 za Tanzania Bara
Imewekwa: November 02, 2022
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imefanya Uteizi wa Madiwani 10 Wanawake wa Viti Maalum kujaza nafasi wazi za Madiwani katika Kata na Halmashauri 10 za Tanzania Bara.Bofya hapa kupata Orodha ya Madiwani Wanawake wa Viti Maalum walioteliwa.