Mwaliko wa Watazamaji wa Ndani wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani Zanzibar na Kata 12 za Tanzania Bara
Imewekwa: November 03, 2022
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawaalika Watazamaji wa Ndani wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani Zanzibar na Kata 12 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 17 Desemba, 2022.