Uhakiki
Wakati wa
Uandikishaji Wapiga Kura au Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura, Tume inatarajia
kutumia sehemu hii kumuwezesha mtu aliyejiandikisha kuwa mpiga kura au
aliyeboresha taarifa zake kwenye daftari la wapiga kura, kuhakiki taarifa zake baada
ya daftari la awali linapotoka.
Lengo la sehemu hii ya uhakiki ni kurahisisha kazi ya kuhakiki daftari la awali kwa wapiga kura walioandikishwa au kuboresha taarifa zao na hivyo kuepusha usumbufu wakati wa kuhakiki taarifa hizo.