Dira na Dhima
Dira ya Tume
"Uwepo wa mfumo wa uchaguzi unaoaminika na unaohakikisha chaguzi huru na za haki."
Dhima ya Tume
"Kusimamia na kuratibu uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea."