Mfumo wa Uchaguzi
Mfumo wa Uchaguzi Tanzania
Mfumo wa Uchaguzi Tanzania ni kuwa anayepata kura nyingi ndiye mshindi. Hii inamaanisha kuwa Rais, Mbunge au Diwani atakayepata kura nyingi ndie atakayetangazwa mshindi. Aidha kuna uwakilishiwa Viti Maalum kwa wabunge na madiwani kwa uwiano wanaopewa wanawake kulingana na kura halali ambazo chama kimepata. Bofya hapa.