Nifanyaje?
Ibara ya 5 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempa haki kila raia aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane kupiga kura.Kwa mujibu wa vifungu vya 13(1), 13 (2), 35C, 61 (3)(a) na 63(1) vya Sheria... Soma zaidi
Kwa mujibu wa Kifungu cha 10 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 pamoja na kifungu cha 15(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, ili mtu aweze kuandikishwa kuwa Mpiga Kura anatakiw... Soma zaidi