• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Rufaa za Uchaguzi Mdogo 2021
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa NEC 2021/2022 – 2025/2026
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao Nkomaala, wilayani Meru mkoa wa Arusha.
Mjane wa Marehemu Clarence Nanyaro akiaga mwili wa marehemu.
Baba wa marehemu mzee Sabaya Nanyaro akiaga mwili wa marehemu mwanaye wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Baba na mama wa marehemu wakiwa an nyuso za huzuni wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria kumuaga marehemu Clarence Nanyaro, kwenye kijiji cha Nkomaala wilayani Meru mkoani Arusha.

Baadhi ya waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu kwenye kaburi lake.
Baadhi ya watoto wa marehemu Clarence Nanyaro (wawili mbele) na mjane wa merehemu (kushoto aliyeshika kichwa) wakiwa kwenye majonzi wakati wa kuuaga mwili wa marehemu mpendwa wao.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akimpa pole mjana wa marehemu Clarence Nanyaro an mtoto wake (kulia) baada ya kuuhifadhi mwili wa marehemu.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akimpa pole baba wa marehemu mzee Sabaya Nanyaro.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akimpa mkono wa pole mama wa marehemu Clarence Nanyaro.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiagana na Mkuu wa Boma, Mzee Gadiel Nanyaro baada ya kumaliza mazishi ya marehemu.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Giveness Aswile wakati watumishi wa Tume walipouaga mwili wa mtumishi mwenzao Clarence Nanyaro katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi an waombelezaji wengine wakishiriki katika ibada ya kumuaga marehemu Clarence Nanyaro katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Tume yaungana na familia kumhifadhi marehemu Nanyaro kijijini kwao Arusha

Nov 30, -0001
16
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zawadi Msalla akipokea zawadi ya redio kutoka kwa Mwakilishi wa Redio Kicheko Fm baada ya kutoa Elimu ya Mpiga Kura kuhus Uwekaji Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia Juni 17 hadi 20 mwaka huu.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Salama Ismail akitoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia  Redio Faraja Fm kuhusu Uwekaji Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia Juni 17 hadi 20 mwaka huu.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Margareth Chambiri akitoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia  Redio Safari FM ya Mtwara kuhusu Uwekaji Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia Juni 17 hadi 20 mwaka huu.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Renatus Masonda akitoa Elimu ya Mpiga Kura kwenye Tamasha la Kubwa Kuliko lilofanyika viwanja vya View Point/Kona ya Mkoa barabara ya Mbeya-Chunya mkoani Mbeya kuhusu Uwekaji Wazi Daftrai la Awali la Wapiga Kura unaoanza Juni 17 hadi 20 mwaka huu.
Mafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (wawili kulia) wakishiriki kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV kutoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia kuhusu Uwekaji Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia Juni 17 hadi 20 mwaka huu.
Wapiga Kura wakiendelea kurekebisha taarifa zao kwenye kituo cha Shule ya Msingi Jongo Halmashauri ya Wilaya ya Ifakara Mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (wa pili kutoka kulia mstari wa mbele) ni miongoni mwa viongozi walioalikwa Bungeni Jijini Dodoma kushuhudia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akihitimisha shughuli za Bunge la 11 leo.
Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage akiwa amesimama kupokea utambulisho wake kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati alipohudhuria Bungeni Jijini Dodoma kushuhudia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akihitimisha shughuli za Bunge la 11.

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari amefanya ziara ya kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Awali Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk ametembelea na kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Awali Kisiwani Pemba. Mhe. Mbarouk ameogozana na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume, Ndugu Emanuel Kawishe na maafisa wengine wa Tume.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari amefanya ziara ya kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Awali Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (mst) Mary Longway yupo Mkoani Mbeya kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Awali. Zoezi hilo linafanyika kwa siku nne nchi nzima kuanzia jana tarehe 17 hadi 20.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (mst) Thomas Mihayo leo ametembelea na kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Awali Mkoani Manyara na Kilimanjaro ikiwa ni siku ya pili ya zoezi hilo la siku nne lililo anza jana na ambalo linatarajiwa kukamilika tarehe 20 mwezi huu. Zoezi hilo linafanyika nchi nzima.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles yupo Mkoani Arusha kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Awali. Zoezi hilo linafanyika kwa siku nne kuanzia jana tarehe 17 hadi 20.
Kikongwe wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa mzaliwa wa Manundu,Korogwe Mkoani Tanga ambaye kwa sasa anaishi Mtaa wa Kinyali, Kata ya Viwandani, Halmashauri ya Jiji la Dodoma Mkoani Dodoma licha ya umri wake mkubwa amefika katika ofisi ya Kata kuhakiki taarifa zake katika kadi yake ya Mpiga Kura.
Wapiga Kura wa Halmashauri za Wilaya ya Kongwa na Chamwino, Mkoani Dodoma wameendelea kujitokeza kuhakiki na kurekebisha taarifa zao kwenye Daftari la Awali. Daftari hilo limewekwa wazi kwa siku nne ambazo zinafikia tamati kesho tarehe 20 Juni.

Uwekaji Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 17 hadi 20 Juni, 2020

Nov 30, -0001
17
Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa (Mst.) Mhe. Semistocles Kaijage (katikati) akikabidhi fomu za Uteuzi kwa Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Bwana Muttamwega Bhatt Mgahwa (wa pili kushoto). aliyefuatana na Mgombea mwenza Bi Satia Mussa Bebwa.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mh. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais Kwa Mgombea wa Chama cha NRA, Leopard Mahona (kushoto) kwenye Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha UPDP, Twalib Ibrahim Kadege (Wapili kushoto)  katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe katika Ofisi za NEC Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 7,2020, kushoto ni Mgombea Mwenza, Prof. Omar Faki Hamad .

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia Makini, Cecilia Augustino Mwanga, katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma. Kushoto ni Mgombea Mwenza,Tabu Mussa Juma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu  katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 8,2020. Kushoto ni Mgombea Mwenza Salum Mwalimu.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha AAFP, Seif Maalim Seif aliyefika wa kwanza katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma. Wanaoshuhudia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mh. Jaji (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk (katikati) na kushoto ni Mgombea Mwenza , Rashid Ligania Rai.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mh. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais Kwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto)  katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 6,2020. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera Charles na Wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji  Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha ADC, Qeen Cuthbert Sendiga (kushoto) katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa CHAUMMA, Hashim Rungwe na Mgombea Mwenza, Mohammed Masoud katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea Mwenza, Mashavu Alawi Haji katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba na aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huaeshi katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha ADA-TADEA, John Paul Shibuda aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Hassan Kornely Kijogoo katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (mst) Semistocles Kaijage (Kushoto) akimkabidhi fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mgombea wa NLD, Maisha Mchunguzi leo tarehe 19.08.2020 Jijini Dar es Salaam.
Mgombea wa NLD, Maisha Mchunguzi.

Utoaji Fomu za Uteuzi kwa Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020

Nov 30, -0001
48
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yatwaa Kombe Mchezo wa Kuvuta Kamba kwenye Bonanza la Ukaguzi
    March 20, 2023
  • Tume yashiriki Maonesho ya Sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
    January 02, 2023
  • Wapiga Kura 114,647 walioandikishwa kushiriki Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani na Kata Saba
    December 16, 2022

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Mpango Mkakati wa NEC 2021/22 – 2025/26
  • Taarifa ya Tathmini ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020
  • Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020
  • Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 358, Dodoma, The National Electoral Commission, 5 Uchaguzi Road, 41107 Njedengwa Uchaguzi House
  • Namba ya Simu : +255 26 2962345-8
  • Nukushi : +255 26 2962348
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2023 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi