• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Rufaa za Uchaguzi Mdogo 2021
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa NEC 2021/2022 – 2025/2026
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R), Mhe.Semistocles Kaijage (Kulia) na Wajumbe wa Tume  wakiangalia eneo la linapojengwa jengwa la Utawala la  Tume ya Taifa ya Uchaguzi enero la Njedengwa mkoani Dodoma.
Hili ni Eneo la Maghala ya kuhifadhia vifaa vya Uchaguzi likiwa katika hatua za Ujenzi.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakipokea taarifa ya Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka kwa Kaimu Meneja wa Mradi kutoka TBA, Arch. Steven Simba.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R), Mhe. Semistocles Kaijage (Katikati) na Wajumbe wa Tume  wakielekea katika eneo la ujenzi wa Ofisi za Tume mkoani Dodoma. Wengine alioambatana nao ni Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume kutoka Chuo Kikuu Ardhi QS Godwin Maro (kushoto) na Mhandisi Yohana Mashauri – Mhandisi wa Mradi huo kutoka TBA
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R), Mhe. Semistocles Kaijage (Katikati) na Wajumbe wa Tume  wakielekea katika eneo la ujenzi wa Ofisi za Tume mkoani Dodoma. Wengine alioambatana nao ni Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume kutoka Chuo Kikuu Ardhi QS Godwin Maro (kushoto) na Mhandisi Yohana Mashauri – Mhandisi wa Mradi huo kutoka TBA

TBA yatakiwa uongeza kasi ya ujenzi wa jengo la Tume mkoani Dodoma

Feb 03, 2018
5
Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Uchaguzi Kanda ya Pwani kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Stephen Elisante akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wa ngazi ya Jimbo la Kinondoni na Kata za jimbo hilo kwenye mafunzo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Februari 17, 2018.
Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Uchaguzi Kanda ya Pwani kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Stephen Elisante akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wa ngazi ya Jimbo la Kinondoni na Kata za jimbo hilo kwenye mafunzo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Februari 17, 2018.
Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Kinondoni Boniface Lihamwike akiwaapisha wasiamamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni na kata zake wakati wa mafunzo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo.
Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni, Victoria Wihenge, akiwasilisha Mada ya Maelekezo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata kwa wasiamamizi wa Kinondoni.

Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni na Kata zake

Jan 11, 2018
4
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mkutano baina ya vyama vya siasa na NEC Jijini Dar es Salaam leo (Jumapili), ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mdogo wa wabunge na madiwani kwenye Majimbo Matatu na Kata Sita utakaofanyika tarehe 13, Januari, 2018 na Majimbo mengine Mawili na Kata Nne utakaofanyika Tarehe 17, Februari, 2018
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ramadhan Kailima akiwasilisha mada kwenye mkutano baina ya vyama vya siasa na NEC Jijini Dar es Salaam leo (Jumapili), ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mdogo wa wabunge na madiwani kwenye Majimbo Matatu na Kata Sita utakaofanyika tarehe 17 mwenzi huu na Majimbo mengine Mawili na Kata Nne utakaofanyika Tarehe 17 mwenzi ujao (17.02.2018)
Viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria mkutano baina ya vyama vya siasa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jijini Dar es Salaam leo (Jumapili), ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mdogo wa wabunge na madiwani kwenye Majimbo Matatu na Kata Sita utakaofanyika tarehe 17 mwenzi huu na Majimbo mengine Mawili na Kata Nne utakaofanyika Tarehe 17 mwenzi ujao (17.02.2018)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari nje ya mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja viongozi kutoka vyama vyama vya siasa 19 vilivyoshiriki mkutano huo.Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu Mst. (Znz) Hamid Mahmoud Hamid na kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani na Mjumbe wa Tume Jaji Mst. Mary Longway (wa pili kushoto na viongozi wengine waalikwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi baada ya kumalizika kwa mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Januari 13, 2018.Katikati ni Mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Kazidi.
Mkurugenzi wa uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kailima Ramdhani akifuarahia jambo na mmoja wa viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria mkutano huo.

Mkutano wa Tume na Vyama vya Siasa Januari 7, 2018

Jan 06, 2018
7
Tume ya Uchaguzi yashiriki kipindi cha Mizani ya Wiki kupitia Azam TV

Tume ya Uchaguzi yashiriki kipindi cha Mizani ya Wiki kupitia Azam TV

Aug 26, 2017
1
mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi akimkabidhi waziri mhagama mwongozo wa elimu ya mpiga kura
mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi akizungumza baada ya uzinduzi wa elimu ya mpiga kura
wanafunzi wa shule ya sekondari Yetu wakisoma kitabu cha elimu ya mpiga kura

Elimu ya Mpiga Kura

Feb 28, 2017
3
Uandikishaji unaendelea

Zoezi la uandikishaji

Feb 28, 2017
1
Mwenyekiti wa NEC akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kutangaza matokeo
mwenyekiti wa uchaguzi akitangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015
mmoja wa wadau wa uchaguzi akimpongeza mwenyekiti baada ya kutangaza matokeo

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015

Feb 28, 2017
3
mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi akionesha kitaabu chenye majimbo mapya
mmoja wa wadau wa uchaguzi akitoa mchango wake kwenye mkutano na vyama vya siasa kujadili majimbo mapya
mjumbe wa Tume akichangia jambo wakati wa mkutano na wadau wa uchaguzi kuhusu ugawaji wa majimbo

New Constituencies

Feb 28, 2017
3
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe (suti nyeusi), Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe Dk. Gabriel Chitupila na baadhi ya Maafisa wa NEC  wakiangalia orodha ya majina ya Wapiga Kura iliyobandikwa nje ya Kituo cha Kupigia Kura kilichojengwa katika eneo la wazi la uwanja wa Mpira wa Magereza  katika Kata ya Biturana wilayani Kibondo. Kata hiyo inafanya uchaguzi mdogo wa Udiwani Januari 19, 2019.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Dk. Gabriel Chitupila akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe (suti nyeusi) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Biturana mara baada ya kutembelea Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Nengo wilayani humo.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Biturana katika Halmashauri ya wilaya ya Kibondo wakikagua majina yao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lililowekwa wazi katika eneo lao. Uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata ya Biturana utafanyika Januari 19 mwaka huu ukihusisha vyama 3 vya Siasa.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe (suti nyeusi), Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Dk. Gabriel Chitupila na baadhi ya Maafisa wa NEC wakikagua vituo vya kupigia Kura katika Kata ya Biturana wilayani humo itakayofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani Januari 19, 2019.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe akizungumza na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi (hawapo pichani) watakaosimamia uchaguzi mdogo wa udiwani Katika Kata ya Biturana wilayani Kibondo Januari 19 mwaka huu.

Watendaji wa Tume wakagua vituo vya kupigia kura kata ya Biturana wilayani Kibondo

Jan 14, 2017
5
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yatwaa Kombe Mchezo wa Kuvuta Kamba kwenye Bonanza la Ukaguzi
    March 20, 2023
  • Tume yashiriki Maonesho ya Sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
    January 02, 2023
  • Wapiga Kura 114,647 walioandikishwa kushiriki Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani na Kata Saba
    December 16, 2022

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Mpango Mkakati wa NEC 2021/22 – 2025/26
  • Taarifa ya Tathmini ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020
  • Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020
  • Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 358, Dodoma, The National Electoral Commission, 5 Uchaguzi Road, 41107 Njedengwa Uchaguzi House
  • Namba ya Simu : +255 26 2962345-8
  • Nukushi : +255 26 2962348
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2023 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi