• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa Tume kwa mwaka 2016/2017 hadi 2020/2021
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akisaini taarifa ya makabidhiano ya ofisini na mtangulizi wake Mhe. Kailima Ramadhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo vya za Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakishuhudia utiaji saini wa taarifa ya makabidhiano ya ofisini kati ya Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kushoto) na mtangulizi wake Mhe. Kailima Ramadhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kushoto) akipokea ofisi kutoka kwa  mtangulizi wake Mhe. Kailima Ramadhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo huku baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo vya Tume wakishuhudia.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano ya ofisini kutoka kwa mtangulizi wake Mhe. Kailima Ramdhani ambaye sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kwenye ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.Mhe. Kailima kabla ya kutumikia wadhifa huo alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kailima Ramadhani akizungumza jambo baada ya kumkabidhi ofisi Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akabidhiwa ofisi rasmi na mtanguzi wake

Jul 14, 2018
5
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Buyungu na Udiwani katika kata 79 za Tanzania Bara
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akiwasilisha mada ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Buyungu na Udiwani katika kata 79 za Tanzania Bara kwenye mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 10, 2018.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya sisasa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Tiafa ya Uchaguzi Jaji (R ) Semistocles Kaijage (hayupo pichani)
Baadhi ya watendaji wa Tume wakifuatilia mkutano
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (wa tatu kulia) akiongoza mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa.Kulia kwake ni Wajumbe wa Tume Jaji Mstaafu Mary Longway, Wakili Asina Omari na Mwakilishi wa Msajili wa Vyama vya Siasa.Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia na Mjumbe wa Tume Balozi Omari Ramadhani Mapuri.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano

Tume yakutana na viongozi wa vyama vya siasa ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Buyungu na Kata 79

Jul 10, 2018
7
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi ua aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ikiwa ni ishara ya kumuaga na kumtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (katikati) akizungumza kwenye kikao cha kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani  ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile akitoa neno la kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani  kwa niaba ya wakuu wa Idara  za Tume wenzake.Kilia ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi Irene Kadushi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimpa mkono wa kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akimpa mkono wa kumuaga Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Kailima Ramadhani .Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akimpa mkono wa kumuaga Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Kailima Ramadhani .Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan

Jul 05, 2018
6
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Mary Longway akifungua mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Mary Longway akifungua mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
Mkurugenzi wa Idara ya Uchaguzi Irene Kadushi akitoa mada kwenye mafunzo
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo

Tume yatoa mafunzo kwa wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Madiwani katika Kata 79

Jul 02, 2018
6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (kulia) Julai 2, 2018, Ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi John Kijazi na Mnikulu wa Ofisi ya Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Thomas Mihayo (kulia) Julai 2, 2018, Ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi John Kijazi na Mnikulu wa Ofisi ya Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Balozi Omari Ramadhan Mapuri (kulia) Julai 2, 2018, Ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi John Kijazi na Mnikulu wa Ikulu wa Ofisi ya Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Athumani Kihamia  Julai 2, 2018,Ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi John Kijazi na Mnikulu wa Ikulu wa Ofisi ya Rais.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (wa tatu kulia) akiwakaribisha ofisi za Tume jijini Dar es Salaam Makamu Mwenyekiti Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (wa tatu kushoto), Kamishna Jaji Mst. Thomas Mihayo (wa pili kushoto), Kamishna Balozi Omari Ramadhani Mapuri (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Athumani Juma Kihamia (wa pili kulia.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Silvius Nkwera.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akizungumza na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Bw. Athumani Kihamia mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (wa pili kushoto), Kamishna Jaji Mst. Thomas Mihayo (wa pili kushoto), Kamishna Balozi Omari Ramadhani Mapuri (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Athumani Kihamia (wa pili kulia).Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Silvius Nkwera.

Dkt. John Magufuli awapisha viongozi wapya wa Tume

Jul 02, 2018
7
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Salum Kassim Ali akizungumza jambo kwenye kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya ZEC na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kilichofanyika hivi karibuni mjini Zanzibar.Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Kailima Ramadhani.
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakifuatilia jambo kwenye kikao na wenzao wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wakifuatilia majadiliano yaliyokuwa yanajiri kwenye kikao kati ya Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ya ZEC.

NEC yafanya kikao na ZEC kuzungumzia ushirikiano kati yao

May 22, 2018
3
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akieleza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya kujadiliana Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji Mkuu Mst. (Znz) Hamid Mahmoud Hamid na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (wa nne kushoto) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Roeland Van de Geer (wa pili kushoto) na Mtaalau wa Masuala ya Siasa wa EU, Anna Costantin.Ujumbe huo ulifika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam kujadili Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ilyotolewa na jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi akizungumza jambo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Asina Omari (wa pili kulia) akiwasilisha taarifa fup kuhusu Tume na majukumu yake kwa ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) (kushoto) uliofika ofisi za NEC kujadili Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Katikati ni Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Asina Omari akifafanua jambo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yakutana na ujumbe wa EU

May 10, 2018
5
Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) jijini Dar es Salaam.

May 02, 2018
3
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa katika eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa katika eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa katika eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa katika eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa katika eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume linalojengwa eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.

Mar 22, 2018
5
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yamtangaza Dkt. Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 28, 2020
    October 31, 2020
  • Tume yaongeza siku tatu kwa wasimamizi wa uchaguzi kuapisha mawakala wa vyama vya siasa kwa ajili ya uchaguzi
    October 23, 2020
  • Tume yafanya uamuzi wa rufaa 616 zilizowasilishwa na wagombea ubunge na udiwani
    September 18, 2020

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Orodha ya Madiwani Wateule wa Viti Maalum walioteuliwa na Tume katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
  • Orodha ya Madiwani Wateule wa Viti Maalum wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
  • Orodha ya Wagombea wa Kiti cha Rais
  • Orodha ya Wagombea Ubunge
  • Wagombea waliopita bila kupingwa

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 10923, Dar es Salaam, Foreign Affairs Building, Shaaban Robert Street and Garden Avenue
  • Namba ya Simu : +255 22 2114963-6
  • Nukushi : +255 22 2116740, +255 22 2127075
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2021 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi