• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Rufaa za Uchaguzi Mdogo 2021
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa NEC 2021/2022 – 2025/2026
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salum Mbarouk akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa uchaguzi yanayofanyika jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo manne na kata 47 za Tanzania Bara.
Baadhi ya wakuu wa idara kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na wasimamizi wa uchaguzi kUtoka halmashauri mbalimbali wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mafunzo ya usimamizi wa uchaguzi.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa uchaguzi wakisaini viapo ikiwa ni utekelezaji wa sharia za uchaguzi.
Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Dodoma Arnold Kirekiano akiwaongoza kiapo kwa wasimamizi wa uchaguzi kabla ya mafunzo ya usiamamizi wa uchaguzi.
Mkurugezi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia akifafanua hoja kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia, wakati akitoa mada kuhusu mambo ya kuzingatia kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Mkuu wa Idara ya Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Irene Kadushi, akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Mkuu wa Idara ya Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Emmanuel Kawishe akifafanua hoja katika mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi.
Afisa Uchaguzi Meshack Mgovano, akieleza jambo kwenye mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi.

Mafunzo ya Wasimamizi wa Uchaguzi jijini Dodoma kwa Uchaguzi wa majimbo 4 na Kata 47

Oct 23, 2018
9
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo ikiwa ni maandalizi kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi. Uchaguzi huo unafanyika siku ya Jumamosi Tarehe 13, Oktoba 2018.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo ikiwa ni maandalizi kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi. Uchaguzi huo unafanyika siku ya Jumamosi Tarehe 13, Oktoba 2018.
Wajumbe na Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao wameongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mbarouk Salim Mbarouk wakipata maelezo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa madiwani katika Kata za King’ori na Majengo zilizopo Halmashauri ya Meru, Mkoani Arusha. Uchaguzi huo utafanyika kesho tarehe 13/10/2018.
Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Kata za King’ori na Majengo wakikagua vifaa kwa ajili ya zoezi la kupiga kura litakalofanyika hapo kesho tarehe 13/10/2018 . Zoezi hili la ukaguzi wa vifaa linafanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Kata za King’ori na Majengo wakikagua vifaa kwa ajili ya zoezi la kupiga kura litakalofanyika hapo kesho tarehe 13/10/2018 . Zoezi hili la ukaguzi wa vifaa linafanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakisaidiana na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Liwale kupanga vifaa vya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Liwale na Udiwani Kata ya Kibutuka, Mkoani Lindi. Uchaguzi huo utafanyika kesho tarehe 13/10/2018.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia yupo Wilayani Liwale akiongoza ujumbe wa makamishna na maafisa wa Tume kuhakikisha maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi yanakwenda vizuri. Uchaguzi huo unafanyika kesho Tarehe 13.10.2018.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia yupo Wilayani Liwale akiongoza ujumbe wa makamishna na maafisa wa Tume kuhakikisha maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi yanakwenda vizuri. Uchaguzi huo unafanyika kesho Tarehe 13.10.2018.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia yupo Wilayani Liwale akiongoza ujumbe wa makamishna na maafisa wa Tume kuhakikisha maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi yanakwenda vizuri. Uchaguzi huo unafanyika kesho Tarehe 13.10.2018.

Maandalizi ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Liwale na Kata 4

Oct 09, 2018
9
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk akifungua mafunzo ya siku 3 kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutoka katika maeneo yenye uchaguzi mdogo wa Ubunge na udiwani utakaofanyika katika jimbo la Liwale na kwenye kata 37 leo jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya siku 3 kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutoka katika maeneo yenye uchaguzi mdogo wa Ubunge na udiwani utakaofanyika katika jimbo la Liwale na kwenye kata 37.
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Emmanuel Kawishe akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kisheria wakati wa mafunzo ya siku 3 kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutoka katika maeneo yenye uchaguzi mdogo utakaofanyika Oktoba 13 mwaka huu.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk (katikati) wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo, jijini Dodoma.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo, jijini Dodoma leo.

Mafunzo kwa wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Liwale

Sep 29, 2018
5
Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Stephen Elisante akimtazama mmoja wa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi aliyekua akifunga kituturi cha kupigia Kura leo jijini Dodoma wakati wa mafunzo kwa vitendo ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018.
Mafunzo kwa Vitendo yanayoendeshwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yakiendelea jijini Dodoma kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi akichangia na kuuliza maswali wakati wa wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge  na Udiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018 katika jimbo la Ukonga na Monduli na kwenye Kata 13 za Tanzania Bara.

NEC yatoa mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo jijini Dodoma

Aug 27, 2018
4
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko Lusubilo, Kigoma Bw. Joeli Mwakibibi akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura leo (11 Agosti 2018) wakati wa mafunzo ya Kusimamia uchaguzi  mdogo wa Ubunge utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Uchaguzi katika jimbo la Buyungu (hawapo pichani), wilayani Kakonko wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kusimamia Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo leo Agosti 11, 2018.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kiziguzigu Bi. Jesca Masawe akifafanua jambo kwa Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura wakati wa mafunzo ya kusimamia uchaguzi mdogo katika jimbo la Buyungu leo.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata ya Kakonko  Bi. Martina Ulungi akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kufunga lakiri (seal) za usalama kwenye maboksi ya kura wakati wa mafunzo kwa Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura leo wilayani Kakonko.
Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura wakati wakifuatilia kwa makini mafunzo ya kusimamia uchaguzi mdogo katika jimbo la Buyungu leo.
Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura wakiangalia lakiri (seal) za usalama zinazofungwa kwenye maboksi ya kura mara wakati wa mafunzo kwa Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura leo wilayani Kakonko.
Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kakonko wakikagua na kuhakiki majina yao kwenye orodha ya Daftari la Wapiga Kura yaliyobandikwa katika Kituo cha Kupigia Kura cha Ukumbi wa Mikutano wilayani Kakonko leo.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko Lusubilo, Kigoma Bw. Joeli Mwakibibi akiwaapisha Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura leo (11 Agosti 2018) ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kufuata sheria wakati wa mafunzo ya Kusimamia uchaguzi  mdogo wa Ubunge utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Mafunzo kwa vitendo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo jimbo la Buyungu yakiendelea leo katika jimbo la Buyungu.

Maandalizi ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Buyungu

Aug 07, 2018
9
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akifafanua jambo kwa  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Salum Kassim Ali (kulia), Mkuu wa Idara ya Utawala ya NEC Bw. Hamis Mkunga (kushoto), Mkuu wa Idara ya Habari ya NEC, Bi. Giveness Aswile (wa pili kutoka kulia) na Mkuu wa Idara ya Manunuzi ya NEC Bw. Eliud Njaila mara baada kukabidhiwa jengo la Ofisi litakalotumiwa na NEC mjini Zanzibar jana.

Tume yakabidhiwa jengo la ofisi Zanzibar.

Jul 31, 2018
1
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Halmashauri ya wilaya ya Longido kufuatilia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 4 . Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Longido Bw. Jummaa Mohamed Mhina na Kulia ni Afisa kutoka NEC, Bw. Athuman Masesa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akizungumza jambo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Moshi Bw. Michael Mwandezi (kulia) mara baada ya kuwasili katika Manispaa hiyo kufuatilia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 1 . Kushoto ni Afisa kutoka NEC, Bw. Athuman Masesa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Moshi Bw. Michael Mwandezi (wa pili kutoka kulia) na Maafisa wa Uchaguzi jana mjini Moshi.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akipokea taarifa ya maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 4 za jimbo la Arusha kutoka kwa Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo Namyaki Wilfred Laitetei.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (kulia) akipokea taarifa ya maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 4 za jimbo la Longido kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Longido Bw. Jummaa Mohamed Mhina.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Kihamia akagua maandalizi ya uchaguzi mdogo Manispaa ya Moshi, Arusha na Longido.

Jul 28, 2018
5
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na Watendaji na Watumishi wa Jiji la Arusha wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji hilo jana. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa jiji la Arusha.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Karisti Lazaro  (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Bw. Grayson Orcado jana jijini humo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia (kulia) akifurahia jambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Karisti Lazaro  alipomtembelea ofisini kwake jijini Arusha. Dkt. Kihamia alifika katika Ofisi za jiji hilo kukabidhi Ofisi ya Mkurugenzi wa jiji hilo ambayo aliiongoza kwa kipindi cha miaka 2.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Karisti Lazaro (kulia) wakisaini vitabu vya taarifa wakati wa  hafla fupi ya kukabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa jiji hilo jana jiji Arusha.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia (katikati) ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na Watendaji wa jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa jiji hilo Mhe. Karisti Lazaro (wa tatu kutoka kulia mbele) mara baada ya hafla fupi kukabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa jiji hilo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na waandishi wa Habari wa jiji la Arusha kuelezea maendeleo ya  maandalizi ya Uchaguzi mdogo utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akipokea zawadi ya picha ya kumbukumbu  kutoka kwa Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Karisti Lazaro (kulia) wakati wa  hafla fupi ya kukabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa jiji hilo jana jiji Arusha.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Kihamia akabidhi ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha

Jul 26, 2018
7
Mkurugenzi wa Uhaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akizungumza na baadhi ya Watendaji wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) na wataalam kutoka Chuo Kikuu Ardhi mara baada ya kutembelea eneo la mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC, Njedengwa jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kulia) akizungumza jambo na Mhandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka TBA alipofanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa ofisi hizo Njedengwa , jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akikagua eneo linapojengwa ghala la kuhifadhia vifaa vya Uchaguzi akiwa ameambatana na baadhi ya Maafisa wa NEC na  wataalam  wanaojenga  mradi huo  kutoka TBA.
Jengo la Utawala la Tume ya Taifa ya Uchaguzi likiwa katika hatua za ujenzi katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Mhandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC jijini Dodoma Mhandisi Yohana Mashauri (kulia) akimweleza jambo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia aliyetembelea ujenzi wa Ofisi hizo.
Mhandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za NEC jijini Dodoma Mhandisi Yohana Mashauri (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kutoka kushoto) wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi hizo jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Uchaguzi atambelea jengo la Tume mjini Dodoma

Jul 22, 2018
6
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yatwaa Kombe Mchezo wa Kuvuta Kamba kwenye Bonanza la Ukaguzi
    March 20, 2023
  • Tume yashiriki Maonesho ya Sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
    January 02, 2023
  • Wapiga Kura 114,647 walioandikishwa kushiriki Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani na Kata Saba
    December 16, 2022

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Mpango Mkakati wa NEC 2021/22 – 2025/26
  • Taarifa ya Tathmini ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020
  • Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020
  • Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 358, Dodoma, The National Electoral Commission, 5 Uchaguzi Road, 41107 Njedengwa Uchaguzi House
  • Namba ya Simu : +255 26 2962345-8
  • Nukushi : +255 26 2962348
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2023 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi