• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Rufaa za Uchaguzi Mdogo 2021
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa NEC 2021/2022 – 2025/2026
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Wakazi wa Jiji la Mwanza wamepokea kwa shauku tangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi la kuanza kwa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo.
Afisa wa Tume akitoa Elimu ya Mpiga Kura
Wakazi wa Jiji la Mwanza wamepokea kwa shauku tangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi la kuanza kwa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo.
Wakazi wa Kata ya Mkolani Center wakisoma maelekezo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyo katika vipeperushi vyenye maelekezo wakati wa utoaji wa Elimu kupitia Gari la Matangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwenye eneo hilo.
Kikundi cha The Fighter cha Geita kikitoa burudani eneo la Mwatulole (Tuangalie) Mjini Geita.
Gari la Matangazo la Tume likitoa elimu ya mpiga kura eneo la Mwatulole (Tuangalie) Mjini Geita.

Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu ya mjini Geita wakati wa kutoa elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo.
Afisa wa Tume Titus Mwanzalila akitoa elimu ya mpiga kura kwenye Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu ya mjini Geita.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura  Giveness Aswile akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu ya mjini Geita.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu wakiwa kwenye picha na gari la matangazo baada ya kupata elimu ya mpiga kura
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile akikakabidhi vitabu vya Sheria za Uchaguzi Sura ya 343 na 292 na kanuni zake na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mwalimu Daniel Matono wa Shule ya Nyankumbu Girls High School iliyopo Mkoani Geita baada ya kutoa elimu ya mpiga kura shuleni hapo.
Elimu ya Mpiga Kura kwenye Shule ya Sekondari ya Geita
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Bi. Giveness Aswile leo wametoa elimu kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa wanafunzi na waalimu wa Shule ya Sekondari ya Geita iliyopo Geita Mjini.

Timu ya maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi inayotoa elimu ya Mpiga Kura juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura inayotolewa kwa kutumia gari maalumu la matangazo la Tume imepokelewa kwa kishindo Wilayani Chato, Mkoani Geita.

Timu ya gari la matangazo imeingia mkoani Kagera na kupiga kambi kwa muda kwenye eneo la Soko la Kariakoo Wilayani Muleba kutoa elimu ya Mpiga Kura kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kagera: Wananchi wakijisomea vipeperushi vya elimu ya mpiga kura (kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura) walivyopewa na maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Leo ilikuwa zamu ya kituo cha magari madogo cha Vikongwa, eneo la Malamba na Horohoro mpakani mwa Tanzania na Kenya.
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakitoa Elimu ya Mpiga Kura juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kwa Wapiga Kura Watarajiwa. Elimu hiyo ilitolewa jana kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Usagara na shule ya Sekondari Tanga Technical School.
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kutumia Gari la Matangazo katika Manispaa ya Morogoro ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3 hadi 9 Februari mwaka huu wa 2020.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Moshi Makuka akitoa Elimu ya Mpiga Kura juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa wafanyabiashara mbalimbali wa soko la Manzese katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Subira Kaswaga akitoa Elimu ya Mpiga Kura juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa wanafunzi na wafanyakazi wa Shule ya Sekondari Kihonda katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
Gari la Matangazo la Elimu ya Mpiga Kura likiwa maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam likitoa elimu wakati Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Waoiga Kura ukianza leo jijini Dar es Salaam na Pwani.

Utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo

Aug 06, 2019
26
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk na Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari leo wamefuatilia mafunzo kwa vitendo kuhusu matumizi ya BVR Kits kwa ajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Mwanza.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Asina Omari akifuatilia mafunzo ya matumizi ya BVR Kit kwenye mafunzo kwa vitendo kuhusu matumizi ya BVR Kits kwa ajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Mwanza.
Afisa Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg.Saidi Kisongo, akitoa mada kuhusu Vifaa vya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa washiriki wa mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, yanayofanyika Mkoani Mwanza leo.
Washiriki wa mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, yanayofanyika Mkoani Mwanza leo.
Washiriki wa Mafunzo ya siku mbili kwa vitendo juu ya matumizi ya BVR Kit katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Mwanza.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk leo amefunga mafunzo ya siku mbili kwa vitendo juu ya matumizi ya BVR Kit katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Mwanza.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile akizungumza na washiriki wa Mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi, Maafisa TEHAMA na Maafisa Uchaguzi wa Tarime DC na Tarime TC ,Rorya DC ,Musoma DC na Musoma MC, Mkoani Mara.
Mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi, Maafisa TEHAMA na Maafisa Uchaguzi wa Tarime DC na Tarime TC ,Rorya DC ,Musoma DC na Musoma MC, Mkoani Mara yamefungwa rasmi na Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Mary Longway.
Washiriki wa Mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi, Maafisa TEHAMA na Maafisa Uchaguzi wa Tarime DC na Tarime TC ,Rorya DC ,Musoma DC na Musoma MC, Mkoani Mara wakifuatilia mafunzo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Mary Longway amemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Malima, Mhe. Longway aliongozana na baadhi ya maafisa wa Tume.
Siku ya Mwisho ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Babati Mjini, Mkoani Manyara.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Mwanza na Mara (Tarime DC, Tarime TC ,Rorya DC ,Musoma DC na Musoma MC) umeanza leo tarehe 13 Agosti 2019 na utamalizika tarehe 19 Agosti 2019.

Hawa ni  Wapiga Kura wapya ambao walijitokeza kuandikishwa kwenye kituo cha relini Mwanza Jiji. Vijana hawa wametimiza miaka 18 mwaka huu na wamekuwa Wapiga Kura rasmi kuanzia leo. Kwa mara ya kwanza watashiriki kuwachagua viongozi wao kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mwananchi huyu mwenye ulemavu akiingia kwenye kituo kilichopo katika Kata ya Butimba Jijini Mwanza, baada ya kuruhusiwa apite moja kwa moja (hakukaa foleni).
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , Mhe. Balozi Ramadhani Omari Mapuri akitoa elimu ya mpiga kura kupitia redio mkoani Shinyanga.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaendelea katika kituo cha Uandikishaji cha Kirumba Uweo jijini Mwanza ikiwa ni siku ya mwisho ya Uboreshaji kwa mikao ya Mwanza na Mara.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kushoto) akiwa na watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Tarime DC, Mkoani Mara. Dkt. Kihamia ametembelea vituo mbalimbali vya Uboreshaji wa Daftari Tarime DC na Tarime TC ikiwa ni siku moja kabla ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari kwenye Wilaya hizo.

Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Mara na Mwanza kuanzia Agosti 13 hadi Agosti 19, 2019

Aug 04, 2019
24
Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kwenda kuandikishwa kwenye kituo cha Shule ya Msingi Sima katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi
Uboreshaji unaendela Ofisi ya Mtendaji Kata ya Babati

Wazee, wajawazito, wanaonyonyesha na wenye ulemavu wanapewa kipaumbele.
Kituo cha NBC Mtaa wa Butiama, Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoani Simiyu.
Uandkishaji kwenye Kituo cha NBC Mtaa wa Butiama, Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoani Simiyu.

Mpiga Kura akifurahia Kadi mpya aliyopewa baada ya kuwa amepoteza Kadi ya zamani katika Kituo cha Shule ya Msingi Majengo, Bunda TC, Mkoa wa Mara.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia ametembelea na kukagua maandalizi ya Tume kushiriki maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Nanenane eneo la Nyakabindi Wilayani Bariadi, Mkoani Simiyu.

Uandikishaji wa Butiama siku ya Pili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Mtumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Renatus Bagashe (mwenye kofia nyeupe) akifafanua jambo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Wakulima ya Nanenane katika Viwanja vya Nyakabindi Wilayani Bariadi, Mkoa wa Simiyu.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura  Giveness Aswile akizungumza kwenye mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Halmashari za Tarime TC ,Tarime DC, Rorya DC, Musoma TC na Musoma DC , Mkoani Mara. Uboreshaji wa Daftari kwenye maeneo hayo unatarajiwa kuanza tarehe 13 mpaka 19 Agosti 2019.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Mary Longway amefungua mkutano wa mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Halmashari za Tarime TC ,Tarime DC, Rorya DC, Musoma TC na Musoma DC , Mkoani Mara. Uboreshaji wa Daftari kwenye maeneo hayo unatarajiwa kuanza tarehe 13 mpaka 19 Agosti 2019.
Baadhi ya washiriki wa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Halmashari za Tarime TC ,Tarime DC, Rorya DC, Musoma TC na Musoma DC , Mkoani Mara. Uboreshaji wa Daftari kwenye maeneo hayo unatarajiwa kuanza tarehe 13 mpaka 19 Agosti 2019.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk, akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Tume na Wadau wa Uchaguzi Jijini Mwanza leo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Wadau walioshiriki mkutano huo ni viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, wawakilishi wa wanawake, vijana, watu wenye ulemavu, asasi za kiraia na waandishi wa habari.

Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Wadau wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mkoa wa Mwanza katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk mara baada ya kumaliza mkutano, uliofanyika Jijini Mwanza leo ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Afisa TEHAMA wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi akitoa maelezo ya jinsi BVR Kit inavyofanya kazi katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari na Mkurugenzi wa Uchaguzi Sehemu ya Zanzibar, Bw. Felix Wandwe wameshiriki mafunzo kwa vitendo juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji na Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi na Maafisa Tehama kutoka Halmashauri saba za Mkoa wa Mwanza.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Tume
Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura cha Shule ya Msingi Kabarim Kata ya Kabarim Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara wananchi wakiendelea na zoezi la kujiandikisha.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mikoa ya Manyara, Simiyu na Mara kuanzia Julai 31 hadi Agosti 6, 2019

Aug 02, 2019
33
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , Mhe. Balozi Ramadhani Omari Mapuri amewasili Mkoani Mara na ujumbe wake wa maafisa wa Tume ambako amemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Malima na baadae akafungua semina ya wadau wa Tume kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salum Mbarouk amefungua semina ya wadau wa Tume kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Manyara.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Manyara. Watendaji hao ni wa ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Mkoa huo.  Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk alihudhuria mafunzo hayo ambayo yalifunguliwa na Mjumbe wa Tume, Mhe. Jaji (Mst) Marystella Longway.

Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Mkoa na Halmashauri za Mkoa wa Manyara wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo ya BVR Kit.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akifuatilia mafunzo ya Maafisa Uandikishaji Mkoani Simiyu ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani humo.

Vijana wa Kimaasai wakifuatia utaoji elimu ya mpiga kura kwa njia ya Gari la Matangazo katika mji wa Babati mkoani Manyara
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omary (katikati) akitoa elimu ya mpiga kura na maafisa wa Tume kupitia 92.1 Bunda FM.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji Semistocles Kaijage akizungumza na Maafisa Uandikishaji ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Mkoani Simiyu.
Baadhi ya Maafisa Uandikishaji ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Mkoani Simiyu wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji Semistocles Kaijage
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akizungumza na maafisa uandikishaji ngazi ya Kata, Bariadi Mji Mkoani Simiyu.

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salum Mbarouk ametembelea Wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara leo na kukagua maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Mafunzo ya watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yamefanyika leo Wilayani Mbulu, Mkoani Manyara na kushuhudiwa na Mjumbe wa Tume, Mhe. Jaji (Mst) Marystella Longway.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Marystella Longway akifuatilia kwa karibu mafunzo kwa vitendo kwa watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Wilayani Mbulu, Mkoani Manyara leo.

Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wa Kata Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti wakimsikiliza kwa makini Mhe. Mjumbe wa Tume Asina Omari wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya watendaji hao.
Mjumbe wa Tume Mhe. Asina Omari akizungumza na Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wakati wa ufunguzi wa Mafunzo kwa watendaji hao.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (mst) Marystella Longway akizungumza na maafisa uandikishaji ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Babati Vijijini, Mkoani Manyara ambao wapo kwenye mafunzo ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani humo.
Maafisa uandikishaji ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Babati Vijijini, Mkoani Manyarawakimsikiliza Mjumbe wa Tume Mary Longway kwenye mafunzo ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani humo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa Uchaguzi, Mhe. Asina Omary akiwa na maafisa wa Tume kupitia Sachita 88.1FM, Mkoani Mara kutoa elimu ya mpiga kura kuhusu  Uboreshaji wa Daftari kwenye Mikoa ya Manyara, Simiyu na Mara
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Marystella Longway ametembelea mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ngazi ya Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators Babati DC, Mkoani Manyara.

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Marystella Longway ametembelea mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ngazi ya Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators Mbulu TC na Mbulu DC.

Maafisa Uandikishaji na BVR Operators wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega wakiwa katika mafunzo ya uandikishaji Wapiga Kura.

Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Manyara, Simiyu na Mara Julai 31 hadi Agosti 6, 2019

Jul 20, 2019
47
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa wazee wa kimila Mkoani Manyara, Jaji Mbarouk aliambatana na Mjumbe wa Tume, Jaji (Mst) Marystella Longway na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Bi. Giveness Aswile.  Mazungumzo hayo yalilenga kuwashirikisha wazee hao katika kufanikisha zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani humo

Mzee Felix Phillemon akionyesha Kadi ya Mpiga Kura sambamba na Kitambulisho cha NIDA wakati wa mkutano wa wawakilishi wa wazee wa Mkoa wa Manyara na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk leo Mkoani Manyara.

Makamu Mwenyekiti Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salum Mbarouk akutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa wazee wa kimila Mkoani Manyara.

Jul 20, 2019
5
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama akitoa salamu zake kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akibofya kitufe kwenye Mashine ya BVR kuashiria uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (waliovaa kofia) wakifuatilia matukio kabla ya uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi  kadi ya mpiga kura mkazi wa Moshi aliyeandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni ishara ya uzinduizi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura

Uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2019

Jul 17, 2019
8
Wananchi wakiwa katika vituo vya kujiandikishia Mkoani Arusha. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro umeanza tarehe 18 Julai 2019 na unatarajiwa kumalizika tarehe 24 Julai 2019.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata ya Murieti Halmashauri ya Jiji la Arusha na kuwakuta wananchi wengi wakiwa kwenye foleni ikiwa ni siku ya mwisho kwa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
BVR Kit Operator katika kituo cha kuandikisha Wapiga Kura cha Ofisi ya KNCU Kyala Wilaya ya Moshi Vijijini Bw. Willy Nzenga akimkabidhi Kadi ya Mpiga Kura mmoja wa Wapiga Kura aliyefika kituoni hapo kurekebisha taarifa zake ikwia ni siku ya mwisho ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, Julai 18 hadi 24, 2019

Jul 17, 2019
5
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi

Mafunzo ya Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo wa Temeke na Kata 46

Dec 10, 2018
3
Baadhi ya wakazi wa jimbo la Buyungu waliojitokeza kupiga kura kumchagua mbunge wao wakiwa kwenye mistari kuingia ndani ya Kituo cha Kupigia Kura wilayani Kakonko leo. Katika uchaguzi huo vyama 10 vya Siasa vimesimamisha wagombea.
Karani mwongozaji wa Kituo cha kupigia Kura Na. 1 katika ukumbi wa mikutano wa wilaya ya Kakonko akitoa maelekezo kwa wapiga Kura waliojitokeza kutimiza haki yao ya kikatiba ya kumchagua Mbunge wao katika jimbo la Buyungu leo.
Mawakala 7 wa vyama mbalimbali vya Siasa vilivyosimamisha wagombea katika nafasi ya Ubunge katika jimbo la Buyungu wakitekeleza majukumu yao ya uwakilishi wa vyama vyao leo katika Uchaguzi mdogo jimbo la Buyungu.
Mkazi wa wilaya ya Kakonko  akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo la Buyungu leo.
Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura akigawa karatasi za kupigia Kura kwa wapiga Kura ndani ya Kituo cha Kupigia Kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Buyungu leo.
Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura akihakiki majina ya Mpiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kabla ya kumruhusu mpiga Kura kutimiza haki yake ya kushiriki kupiga Kura katika Uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu leo.
Mmoja wa wapiga Kura ambaye ni mzee akipata usaidizi wa kutolewa nje ya kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga  kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Buyungu leo.
Baadhi ya Wakazi wa jimbo la Buyungu wakiwa kwenye mstari na wengine wakihakiki majina yao kabla ya Kupiga Kura kwenye yaliyobandikwa nje ya Kituo cha Kupigia Kura katika jimbo la Buyungu.

Wakazi wa Jimbo la Buyungu wapiga kura

Dec 07, 2018
8
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yatwaa Kombe Mchezo wa Kuvuta Kamba kwenye Bonanza la Ukaguzi
    March 20, 2023
  • Tume yashiriki Maonesho ya Sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
    January 02, 2023
  • Wapiga Kura 114,647 walioandikishwa kushiriki Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani na Kata Saba
    December 16, 2022

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Mpango Mkakati wa NEC 2021/22 – 2025/26
  • Taarifa ya Tathmini ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020
  • Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020
  • Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 358, Dodoma, The National Electoral Commission, 5 Uchaguzi Road, 41107 Njedengwa Uchaguzi House
  • Namba ya Simu : +255 26 2962345-8
  • Nukushi : +255 26 2962348
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2023 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi