• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Rufaa za Uchaguzi Mdogo 2021
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa NEC 2021/2022 – 2025/2026
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh Balozi Omar Ramadhani Mapuri leo amefungua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya mkoa katika mkoa wa Tanga.
Mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya mkoa katika mkoa wa Tanga.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh Asina Omari leo amefungua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya jimbo kwa Halmashauri za Wilaya za Malinyi na Ulanga mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage leo amemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Lowata Ole Sanare. Mhe. Kaijage ambaye aliongozana na Mjumbe wa Tume, Mhe. Asina Omar yupo Mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekutana na wadau wa Uchaguzi Mkoani Morogoro ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani humo.
Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri mbalimbali za jiji la Tanga wakila kiapo kabla ya kuanza kwa mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mafunzo hayo yanafanyika leo katika halmashauri zote za jiji hilo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Mst) Mh. Marrystella Longway, akielekeza jambo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, alipokuwa akikagua mafunzo kwa vitendo juu ya matumizi ya mashine za BVR wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mafunzo hayo yanafanyika leo katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omar akizungumza na washiriki wa mafunzo ya BVR Kit Operators yanayofanyika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro. Mafunzo hayo ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akizungumza na washiriki wa mafunzo ya BVR Kit Operators yanayofanyika Halmashauri ya Mji wa Handeni Mkoani Tanga. Mafunzo hayo ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Leo ilikuwa zamu ya kituo cha magari madogo cha Vikongwa, eneo la Malamba na Horohoro mpakani mwa Tanzania na Kenya.
Wananchi wakiendelea kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Weo Tadeko, Halmashauri ya Jiji la Tanga.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaendelea mkoani Tanga na Morogoro (Halmashauri za Wilaya ya Ulanga na Malinyi) unafanyika kwa siku saba (7) kuanzia tarehe 23 hadi 29 Januari 2020.

Uboreshaji wa Daftari Mkoani Tanga na Morogoro kwa Halmashauri za Wilaya za Malinyi na Ulanga utafanyika kuanzia tarehe 23 hadi 29Januari 2020.

Jan 14, 2020
12
Wananchi wa Mtwara na Lindi wameendelea kujitokeza katika vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura vilivyo katika maeneo yao ili kujiandikisha/kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya mikoa ya Lindi na Mtwara wamejitokeza kujiandikisha/kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni siku ya mwisho ya kuhitimisha kwa zoezi hilo katika ukanda huo wa Kusini.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 12 hadi 18 Januari mwaka 2020

Jan 04, 2020
2
Timu ya gari la matangazo imepiga kambi Mkoani Ruvuma ili kuwaelimisha wananchi juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani humo.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Mst) Mahakama ya Rufaa Mbarouk Salim Mbarouk akifuatilia mafunzo kwa vitendo ya mashine za BVR wakati wa mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators katika Shehia za Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Uandikishaji wa Wapiga Kura ukiendelea katika kituo cha Kariakoo, Shehia ya Kwaalinato jimbo la Jang'ombe katika Kisiwa cha Unguja. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Tanzania Zanzibar (Visiwa vya Unguja na Pemba) umeanza tarehe 30/12/2019 hadi Januari 05 2020.
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura likiendelea vizuri katika vituo mbalimbali vya uandikishaji wa Wapiga Kura katika Halmashauri ya Njombe Mji mkoani Njombe.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Njombe, Ruvuma na Zanzibar kuanzia Desemba 30,2019 hadi Januari 5, 2019

Dec 20, 2019
4
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Uchaguzi na Maafisa TEHAMA katika mkoa wa Iringa
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Wilson Charles akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Uchaguzi na Mafisa TEHAMA wa mkoa wa Iringa wakati alipotembelea mafunzo hayo.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkao wa Iringa na halmashauri za mikoa ya Dodoma na Mbeya kuanzia tarehe 17- 23 Desemba, 2019

Dec 09, 2019
2
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Sera na Mipango ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Adam Mkina akifungua Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu kla Wapiga Kura kwa Wasimamizi wa Uandikishaji Ngazi ya Jimbo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume Jaji Mstaafu Mary Longway,Madfunzo hayo yamefanyika jijini Dodoma.
Maafisa wa Tume wakiwa kwenye studio ya Redio Ushindi ya jijini Mbeya kutoa Elimu ya Mpiga Kura kuelekea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Maafisa wa Tume wakiwa kwenye studio ya Redio Ushindi ya jijini Mbeya kutoa Elimu ya Mpiga Kura kuelekea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Mst) Thomas Mihayo akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mkoani Dodoma.
Mafunzo kwa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata kwenye Jiji la Mbeya na Halmashauri za Busokelo, Kyela na Mbeya, Mkoani Mbeya yanaendelea.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles ametembelea mafunzo ya Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Mbeya na Dodoma utakaofanyika tarehe 6 hadi 12 Desemba, 2019

Nov 26, 2019
6
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (R-Mst) Semistocles Kaijage leo amemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge nakufanya naye mazungumzo juu ya zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kufanyika Mkoani Dodoma kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi tarehe 01 Novemba 2019.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari akikagua mafunzo kwa vitendo juu ya matumizi ya BRV Kits kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dodoma.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji (Mst) Thomas Mihayo akifuatilia mafumzo kwa vitendo kwa Maafisa Waandikishaji na Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Mkoa, Mkoa wa Songwe.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles amefunga rasmi mafunzo kwa maafisa waandikishaji, maafisa waandikishaji wasaidizi, maafisa Uchaguzi na maafisa tehama ngazi ya Jimbo, Mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles akizungumza na washiriki wa mafunzo ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Mkoani Dodoma.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji (Mst) Mary Longway akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Waandishi Wasaidizi ngazi ya Vituo na BVR Kit Operators katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.
Waandishi Wasaidizi ngazi ya Vituo na BVR Kit Operators wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Mkoani Dodoma wakila kiapo.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Songwe, Singida na Halmashauri 3 za Dodoma kuanzia Oktoba 26 hadi Novemba 1, 2019

Oct 15, 2019
7
Mafunzo yakiendelea Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma.
Mafunzo kwa BVR Kit operators na waandishi wasaidizi wa Manisipaa ya Tabora, Mkoani Tabora.
Afisa Tehama wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu Innocent Sereha (kushoto) akielekeza jambo kwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators wakati wa mafunzo kwa vitendo ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo kwa ajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari akizungumza na Waandishi Wasaidizi Halmashauri ya Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora. Mhe. Asina ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi, Ndugu Anselm Mwampoma.
Wananchi wakiendelea na zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kituo cha uandikishaji cha Katandala
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura likiendelea kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora.
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura likiendelea kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Katavi, Tabota, na Rukwa kuanzia Oktoba 14 hadi Oktoba 20,2019

Oct 04, 2019
7
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk s Mbarouk amefungua Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya jimbo, Maafisa Uchaguzi na Maafisa Tehama kutoka Halmashauri saba za mkoa wa Kigoma.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk s Mbarouk amefungua Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya jimbo, Maafisa Uchaguzi na Maafisa Tehama kutoka Halmashauri saba za mkoa wa Kigoma.
Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya jimbo, Maafisa Uchaguzi na Maafisa Tehama kutoka Halmashauri saba za mkoa wa Kigoma wakila kiapo kwenye mafunzo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Asina Omari akifungua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Jimbo Mkoani Kagera.
Mafunzo kwa watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Wilayani Chato yanaendelea. Mafunzo hayo yamehudhuriwa na Mjumbe wa Tume, Mhe. Balozi Omari Ramadhan Mapuri, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia na maafisa wengine wa Tume.
Timu ya gari la Matangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa elimu kwa wananchi wa Chato waliojitokeza kusikiliza na kuuliza maswali juu ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kulia) akikagua maendeleo ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye moja ya vituo Mkoani Geita leo.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari akifungua mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa Uchaguzi Mkoani Kagera, Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa Vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Asasi za Kiraia na Waandishi wa Habari.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile akitambulisha meza kuu wakati wa Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi mkoani Kagera.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (R) Mbarouk S. Mbarouk amekutana na wadau wa Uchaguzi mkoani Kigoma na kuwataka kushiriki kikamilifu katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajia kuanza Oktoba 02 mkoani humo.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (R) Mbarouk S. Mbarouk amekutana na wadau wa Uchaguzi mkoani Kigoma na kuwataka kushiriki kikamilifu katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajia kuanza Oktoba 02 mkoani humo.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (R) Mbarouk S. Mbarouk amekutana na wadau wa Uchaguzi mkoani Kigoma na kuwataka kushiriki kikamilifu katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajia kuanza Oktoba 02 mkoani humo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Dkt. Athumani Kihamia akitembelea Kituo cha kuandikishia Wapiga Kura cha Kijiji cha Ngudu, Kata ya Ngudu Wilayani Kwimba, Mwanza. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaendelea vizuri Wilayani hapo.
Maafisa wa Tume leo wametembea kwenye maeneo mbalimbali ya Mji wa Kigoma kutoa elimu ya ana kwa ana na kugawa vipeperushi vyenye taarifa zote muhimu kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Wilaya ya Nyangw'ale Mkoani Geita katika Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura cha Shule ya Msingi Mabogo baada ya kukagua zoezi la uandikishaji.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Mstaafu) Thomas Mihayo akizungumza na washiriki wa mafunzo juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Mstaafu) Thomas Mihayo akizungumza na washiriki wa mafunzo juu ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omari Ramadhan Mapuri akizugumza kwenye mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya kata Wilayani Chato, Mkoani Geita.
Maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Vijijini, Mkoani Kigoma wakiendelea na mafunzo kwa vitendo juu ya matumizi ya BVR Kits.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Kagera, Halmashauri ya Chato na baadhi ya Halmashauri za mkoa wa Kigoma Oktoba 2 hadi Oktoba 8, 2019

Sep 19, 2019
19
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akifungua semina na mafunzo kwa wadau na watendaji wa Uboreshaji kwenye mkoa wa Geita
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,  Mhe. Asina Omari alifungua mafunzo ya watendaji wa Uboreshaji wa Daftari Mkoani Geita.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile akizungumza kwenye mafunzo ya watendaji wa Uboreshaji wa Daftari Mkoani Geita.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akifungua mkutano wa Wadau wa Uboreshaji Mkoani Shinyanga
Mkurugenzi wa Idara ya Daftari na TEHAMA, Martin Mnyenyerwa akizungumza kwenye mafunzo ya watendaji wa Uboreshaji wa Daftari Mkoani Geita.
Picha ya pamoja kati ya Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage na wadau na watendaji wa Uboreshaji wa Daftari Mkoani Geita.
Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari Mkoani Geita wakila kiapo kwenye mafunzo ya Uboreshaji.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wadau na watendaji wa Uboreshaji mkoa wa Geita
Mjumbe wa Tume ya Taifa Uchaguzi, Mhe. Asina Omary akikagua mafunzo ya BVR kwa watendaji wa Uboreshaji mkoani Geita
Akiwa Mkoani Geita kwenye maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage na ujumbe wake wamekutana na Mkuu wa Mkoa huo, Eng. Robert Gabriel ofisi kwake.
Akiwa Mkoani Geita kwenye maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage na ujumbe wake wamekutana na Mkuu wa Mkoa huo, Eng. Robert Gabriel ofisi kwake.
Akiwa Mkoani Geita kwenye maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage na ujumbe wake wamekutana na Mkuu wa Mkoa huo, Eng. Robert Gabriel ofisi kwake.
Akiwa Mkoani Geita kwenye maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage na ujumbe wake wamekutana na Mkuu wa Mkoa huo, Eng. Robert Gabriel ofisi kwake.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa watendaji wa Uboreshaji mkoani Geita.
Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Kata, Geita DC.
Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Kata, Geita DC.
Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Kata, Geita DC.
Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Kata, Geita DC.
Washiriki wa Mafunzo kwa Waandikishaji Wasaidizi Ngazi ya Kata Manispaa ya Shinyanga, Mkoani Shinyanga.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (R) Mbarouk S. Mbarouk ametembelea mafunzo kwa Maofisa Waandikishaji Wasaidizi Ngazi ya Kata Manispaa ya Shinyanga, Mkoani Shinyanga.
Mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi Ngazi ya Kata Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoani Mwanza.
Mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata, Kahama TC yanaendelea. Mafunzo hayo yamehudhuriwa na Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri.
Waandishi Wasaidizi na BVR kits Operator wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama, Mkoani Shinyanga wakila kiapo mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kahama, Bi. Evodia Narcise Kyala tayari kwa kuanza kazi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Waandishi Wasaidizi na BVR kits Operator wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama, Mkoani Shinyanga wakila kiapo mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kahama, Bi. Evodia Narcise Kyala tayari kwa kuanza kazi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mafunzo kwa vitendo yakiendelea kwa Waandishi Wasidizi na BVR kit Operators ngazi ya kata yanayofanyika katika Shule ya Msingi Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Mkoani Shinyanga.
Waandishi Wasaidizi na BVR Kits operators ngazi ya kata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita, mkoani Geita wakiwa kwenye mafunzo kwa vitendo ya matumizi ya BVR ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mafunzo hayo yamefanyika katika shule ya Sekondari Katoro.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura umeanza kwenye mikoa ya Geita (ispokuwa Chato), Shinyanga na Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 26 Septemba 2019 ambapo vituo vinafunguliwa saa 02:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura umeanza kwenye mikoa ya Geita (ispokuwa Chato), Shinyanga na Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 26 Septemba 2019 ambapo vituo vinafunguliwa saa 02:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura umeanza kwenye mikoa ya Geita (ispokuwa Chato), Shinyanga na Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 26 Septemba 2019 ambapo vituo vinafunguliwa saa 02:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Geita, Shinyanga, kuanzia Septemba 20 hadi Septemba 26, 2019

Sep 16, 2019
29
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yatwaa Kombe Mchezo wa Kuvuta Kamba kwenye Bonanza la Ukaguzi
    March 20, 2023
  • Tume yashiriki Maonesho ya Sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
    January 02, 2023
  • Wapiga Kura 114,647 walioandikishwa kushiriki Uchaguzi Mdogo Jimbo la Amani na Kata Saba
    December 16, 2022

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Mpango Mkakati wa NEC 2021/22 – 2025/26
  • Taarifa ya Tathmini ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020
  • Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020
  • Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 358, Dodoma, The National Electoral Commission, 5 Uchaguzi Road, 41107 Njedengwa Uchaguzi House
  • Namba ya Simu : +255 26 2962345-8
  • Nukushi : +255 26 2962348
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2023 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi