• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Rufaa za Uchaguzi Mdogo 2021
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa NEC 2021/2022 – 2025/2026
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano
  • Jarida la Uchaguzi

labels.lbl_photo_galleries

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 leo jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali kujadili maadili hayo ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kisheria kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Tixon Nzunda akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa niaba ya Serikali.Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Wilson Charles.
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa niaba ya chama chake.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Mnyika akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Viongozi wa Vyama vya Siasa walioshiriki Mkutano wa Kujadili Maadili ya Vyama vya Siasa uliofanyika leo Mei 27, 2020 jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa kujadili na kusaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

Tume, Vyama vya Siasa na Serikali vyasaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2020

May 26, 2020
6
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emmanuel Kawishe (wa pili kulia) akizungumza na BVR Kit Operator wakati alipotembelea Mafunzo kwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operator yaliyofanyika leo wilayani Chakechake kisiwani Pemba.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Emmanuel Kawishe (wa pili kulia) akizungumza na Waandishi Wasaidizi wakati alipotembelea Mafunzo kwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operator yaliyofanyika leo wilayani Chakechake kisiwani Pemba.Kulia ni Mratibu wa Uandikishaji Pemba Bw. Suleimani Mkasha, kushoto ni Afisa Mdhamini wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Hafidhi Mohamed na Afisa wa NEC Bw.  Michael Simba.
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Chakechake kisiwani Pemba Sheikha Kitwana (kulia) akiwaapisha Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operator wakati wa mafunzo kwa watendaji huo yaliyofanyika wilayani Chakechake kisiwani Pemba leo.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguji (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Dkt. Cosmas Mwaisobwa wakati alipotembelea Vituo mbalimbali vya Kuandikisha Wapiga Kura katika Halmashauri za Manispaa za Kinondoni, Temeke na Ilala mkoani Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguji (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage akikagua Daftari la Awali la Wapiga Kura lililobandikwa kituoni.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dtk. Bilinith Mahenge akiboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata ya Kilimani mkoani Dodoma.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Mst) Thomas Mihayo (wa pili kushoto) amefanya ziara mkoani Dodoma katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kukagua vituo vya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa Mstaafu Mbarouk S. Mbarouk (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ofisi ya NEC Zanzibar Bw. Hamidu Mwanga wakati alipotembelea Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura mjini Unguja.Kulia ni Afisa Mwandikishaji Wilaya ya Mjini Unguja Safia Muhammad.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa Mstaafu Mbarouk S. Mbarouk (kushoto) akimiminiwa kitakasa mikono (Sanitizer) wakati alipotembelea Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura cha Skuli ya Kisiwandui kuangalia Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mjini Unguja.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa Mstaafu Mbarouk S. Mbarouk (kushoto) akizungumza na BVR Kit Operator kwenye Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura cha Mwanakwerekwe mjini Unguja.
Mpiga Kura akijiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura cha Skuli ya Maandalizi na Msingi Kiembe Samaki A mjini Unguja.
Wapiga Kura wakiwa kwenye foleni kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura kilichopo ngazi ya Jimbo la Bububu mjini Unguja.
Wapiga Kura wakihakiki taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Wapiga Kura Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura cha Skuli ya Maandalizi na Msingi Kiembe Samaki A mjini Unguja.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi Daftari la Awali kuanzia tarehe 4 hadi 4 Mei , 2020

Apr 29, 2020
13
Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Bi. Karoline Mthapula akionesha taarifa zake za Mpiga Kura baada ya kuhakiki taarifa zake kupitia simu ya kiganjani kwa kupiga *152*00#.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imechukua hatua ya kupuliza dawa kwenye mashine za BVR ili kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (mwenye koti la blu) akiipita kwenye kituo cha kuandikisha wapiga kura mkoani Arusha, wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi wa Daftari la Awali.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Marystella Longway (aliyesimama) akiwa kwenye kituo cha kuandikisha wapiga kura kukagua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi Daftari la Awali  mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Dkt. Cosmas Mwaisobwa (katikati) akipaka Sanitizer wakati akitaka kuingia kwenye kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura, wakati akikagua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi Daftari la Awali jijini Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro akiwa kwenye kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura wilayani Arumeru wakati alipokwenda kuhamisha taarifa zake.
Uandikishaji Wapiga Kura ukiendelea kwenye kituo wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Uwekaji Wazi Daftari la Awali kwa mikoa 12 ya Tanzania Bara.
Baadhi ya Wapiga Kura wakikagua Daftari la Awali kuhakiki taarifa zao wakati wa Uwekaji Wazi wa Daftari la Awali.
Baadhi ya Wapiga Kura wakikagua Daftari la Awali kuhakiki taarifa zao wakati wa Uwekaji Wazi wa Daftari la Awali.

Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi Daftari la Awali kuanzia tarehe 17 hadi 19 April, 2020

Apr 12, 2020
9
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa Tume na viongozi wa Vyama vya Siasa kabla ya kuanza Uboreshaji wa Daftari Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi wa Daftari kuanzia Aprili 17 mwaka huu.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles akitoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo kwenye mkutano wa Tume na viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza Uboreshaji wa Daftari Awamu ya Pili na Uwekaji Wazi Daftari kuanzia Aprili 17 mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Mst.) Mbarouk Salim Mbarouk akifunga mkutano wa Tume na viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo Aprili 8, 2020 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Tume na viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo Aprili 8, 2020 jijini Dar es Salaam, wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles akimkabidhi mmoja wa viongozi wa Vyama vya Sisasa nakala ya vituo vya Uboreshaji wa Daftari Awamu ya Pili.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage (katikati) akiwa meza kuu na wajumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Cahrles (kushoto kwake), wakati wa Mkutano wa Tume na viongozi wa Vyama vya Siasa uliofanyika leo Aprili 8, 2020 jijini Dar es Salaam.p

Mkutano wa Tume na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuelekea Uwekaji Wazi Daftari na Uboreshaji Awamu ya Pili

Apr 07, 2020
6
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira  na Wenye Ulemavu Mhe. Jenister Mhagana akikata utepe kuashiria kukabidhi magari kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage (kushoto) huku Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles akishuhudia kulia.Magari 12 kati ya 20 yamekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam kwenye ofisi za Tume.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira  na Wenye Ulemavu Mhe. Jenister Mhagana akizungumza mbele ya waandishi  wa habari baada ya  kukabidhi magari kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst Semistocles Kaijage leo.Magari 12 kati ya 20 yamekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam kwenye ofisi za Tume.
Magari 12 yaliyokabidhiwa kwa Tume
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira  na Wenye Ulemavu Mhe. Jenister Mhagana akiwa ndani ya moja ya magari 12 aliyoyakabidhi kwa Tume Leo jijini Dar es Salaam..
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira  na Wenye Ulemavu Mhe. Jenister Mhagana akipita mbele ya magari aliyoyakabidhi Leo huku akisindikizwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst Semistocles Kaijage.Magari 12 kati ya 20 yamekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam kwenye ofisi za Tume.

Serikali yaikabidhi magari Tume

Apr 03, 2020
5
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage (mwenye kofia nyekundu) akizungumza jambo wakati akikagua jengo la Tume jijini Dodoma akiwa na wajumbe wengine na watendaji wa Tume.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage (katikati) akipata maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi kutoka kwa wataalamu wanaosimamia ujenzi wa jengo la Tume eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage akiwasili kwenye eneo la Njedengwa kukagua jengo la Tume jijini Dodoma na kupokelewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles na watendaji wengine wa Tume na timu ya ujenzi.mbe wengine wa Tume waliohudhuria mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage (wa tatu kulia) akiwa na wajumbe wengine na watendaji wa Tume, wakifuatilia kikao cha kupata maelezo ya maendeleo ya mradi wa jengo la Tume eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Tume (waliokaa) na watendaji wa Tume na wasimamizi wa mradi wa jengo la Tume jijini Dodoma.

Tume yatembelea na kukagua jengo lake jijini Dodoma

Mar 26, 2020
5
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa wakati Tume ilipokutana nao leo kujadili Uwekaji Wazi wa Daftari la Awali na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Awamu ya Pili jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria mkutano wa Tume leo jijini Dar es Salaam kujadili Uwekaji Wazi wa Daftari la Awali na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Awamu ya Pili.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles akimkabidhi mmoja ya viongozi wa vyama vya siasa, nakala ya vituo vya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Semistocles Kaijage akiwa meza kuu na wajumbe wengine wa Tume waliohudhuria mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa.

Mkutano wa Tume na Viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili Uwekaji Wazi Daftari na Uboreshaji Awamu ya Pili

Mar 22, 2020
4
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Mst.) Mbarouk Salim Mbarouk akifungua Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi leo mjini Kibaha mkoa Pwani kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Pwani.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Mst.) Mbarouk Salim Mbarouk (Katikati) akifuatilia Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi leo mjini Kibaha mkoa Pwani kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Pwani.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omari Ramadhan Mapuri akizungumza kwenye mafunzo ya BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi yanayofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Pugu, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jijini Dar es Salaam.
BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi wakila kiapo wakati wa mafunzo yaliyofanyika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mst) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi, Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Asina Omari akitoa maelekezo kwa BVR Kit Operators leo wakati wa mafunzo ya vitendo Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Washiriki wa mafunzo kwa Waandishi wasaidizi wa Halmashauri ya Kinondoni wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles akizungumza na washiriki wa mafunzo kwa Waandishi wasaidizi wa Halmashauri ya Kinondoni yaliyofanyika katika ukumbi wa Maafisa wa Polisi Oyster Bay, Manispaa ya Kinondoni.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Bi. Giveness Aswile akikagua vituo vya kuandikishia Wapiga Kura eneo la Shule ya Msingi Mtongani Kata ya Kunduchi, Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Meshark Mgovano akitoa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo wilayani Temeke mkoani dar es Salaam.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam na kufanyika tarehe 14 hadi 20 Februari, 2020

Feb 06, 2020
10
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Margareth Chambiri akizungumza na mmoja wa wadau wa Uchaguzi aliyetembelea banda la Tume kwenye Maonesho ya Wiki ya Utoaji wa Elimu ya Sheria na Siku ya Sheria nchini yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Tume ni miongoni mwa taasisi takribani 30 zinazoshiriki kwenye maonesho hayo.
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Margareth Chambiri akishuhudia mmoja wa wadau wa Uchaguzi akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Tume kwenye Maonesho ya Wiki ya Utoaji wa Elimu ya Sheria na Siku ya Sheria nchini yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Tume ni miongoni mwa taasisi takribani 30 zinazoshiriki kwenye maonesho hayo.

Maonesho ya Wiki ya Utoaji wa Elimu ya Sheria na Siku ya Sheria mwaka 2020

Jan 31, 2020
2
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yatangaza matokeo ya Uchaguzi Jimbo la Mbarali na Kata Sita za Tanzania Bara
    September 21, 2023
  • ?Mwenyekiti wa Tume Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele atembelea na kukagua Uchaguzi Mdogo Jimbo la Mbarali
    September 19, 2023
  • Wapiga kura 216,282 kupiga kura uchaguzi mdogo wa Mbarali na kata sita
    September 19, 2023

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Jarida la Uchaguzi, Agosti, 2023
  • Jarida la Uchaguzi Toleo la Julai, 2023
  • Jarida la Uchaguzi Toleo la Machi, 2023
  • Jarida la Uchaguzi Toleo la Februari, 2023
  • Jarida la Uchaguzi Toleo la Januari, 2023
Tanzania Census 2022

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 358, Dodoma, The National Electoral Commission, 5 Uchaguzi Road, 41107 Njedengwa Uchaguzi House
  • Namba ya Simu : +255 26 2962345-8
  • Nukushi : +255 26 2962348
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2023 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi