• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Maadili ya Uchaguzi
    • Miongozo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
    • Orodha ya Matokeo ya Rufaa za Ubunge zilizoamuliwa na Tume
    • Wagombea waliopita bila kupingwa
    • Wagombea katika Uchaguzi Mkuu 2020
    • Wabunge na Madiwani Wateule wa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu 2020
    • Jarida la Tume kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
    • Mpango Mkakati wa Tume kwa mwaka 2016/2017 hadi 2020/2021
    • Kura ya Maoni
    • Maelekezo
    • Orodha ya Majimbo na Kata
  • Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • NEC Online TV
    • Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Ratiba ya Kampeni za Wagombea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
    • Voters Interaction System
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida la Tume la Uchaguzi Mkuu 2020
  • Zabuni/Mnada
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano

labels.lbl_photo_galleries

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe kwenye ofisi za Tume Njedengwa jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa mgombea wa Chama cha Wananchi CUF, Prof.Ibrahim Lipumba katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa (Mst.) Mhe. Semistocles Kaijage akipokea fomu za Uteuzi kutoka kwa mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa leo ni siku ya kurejesha fomu za uteuzi kwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa mgombea wa Chama cha ADA-TADEA, John Paul Shibuda aliyeambatana katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa Mgombea wa Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa Mgombea wa Kiti cha Rais kupitia Chama cha CHAUMMA, Hashim Rungwe katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka kwa mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini, Cecilia Augustino Mwanga, katika Ofisi za NEC, Njedengwa jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha UPDP, Twalib Ibrahim Kadege katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha SAU, Mutamwega Bati Mgaiwa (kushoto) katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha NRA, Leopord Mahona katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka mgombea wa kiti cha Rais kupitia Mgombea wa Chama cha Demokrati (DP) Phillipo John Fumbo katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha AAFP, Seif Maalim Seif katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Rufaa Mst. Semistocles Kaijage akipokea fomu za uteuzi kutoka mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha UPDP, Twalib Ibrahim Kadege katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma.

Urejeshaji wa Fomu za Uteuzi wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais.

Aug 25, 2020
16
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk s Mbarouk akifungua kikao cha Tume na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura kilichofanyika jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Wilson Charles akizungumza na wawakilishi wa asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura kwenye kikao cha Tume na wawakilishi hao jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bi. Giveness Aswile akifafanua jambo kwenye kikao cha Tume na wawakilishi wa asasi zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura 2020.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Habari) Dkt. Cosmas Mwaisobwa akieleza jambo kwenye kikao cha Tume na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura.

Kikao cha Tume na Asasi za Kiraia zilizopata Kibali cha Kutoa Elimu ya Mpiga Kura 2020

Aug 22, 2020
4
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage akionesha kitabu cha Kanuni za Uchaguzi Mkuu za mwaka 2020 kwenye mkutano wa Tume na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Wilson Charles akizungumza kwenye mkutnao wa Tume na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano wa Tume na wahariri hao uliofanyika jijini Dar es Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bi. Giveness Aswile akizungumza na wahariri wa vyombyo habari kwenye mkutani wa Tume na wahariri hao uliofanyika jijini Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk S. Mbarouk akizungumza jambo kwenye mkutano wa Tume na wahariri wa vyombo vya habari iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa Tume na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam akichagia hoja kwenye mkutano huo.

Mkutano wa Tume na Wadau wa Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28,2020

Aug 18, 2020
6
Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi George Mwakyembe akitoa elimu ya mpiga kura kwenye soko kuu Majengo jijini Dodoma kuhamasisha wananchi wajitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi terehe 28 Oktoba,2020
Utoaji Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo katika viunga mbalimbali vya jiji la Dodoma.
Utoaji Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo katika Soko Kuu Majengo jijini Dodoma.
Utoaji Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo katika Soko Kuu Majengo jijini Dodoma.
Utoaji Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo katika Soko la Mavunde Gareden jijini Dodoma
Utoaji Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo katika Soko Kuu la Majengo jijini Dodoma

Utoaji Elimu ya Mpiga Kura kupitia Gari la Matangazo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

Aug 12, 2020
6
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dk. Wilson Mahera Charles (kulia) akisani kitabu katika Banda la Tume ya Uchaguzi lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Nane Nane Nzuguni Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Eng. Stella Manyanya akimsikiliza Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Johari Mutani (kulia) akimpa Maelezo juu ya shuguli za Tume. Naibu Waziri Manyanya alitembelea Banda la Maonesho ya Wakulima Nane Nane lililopo Nzuguni Jijini Dodoma.

Ushiriki wa Tume kwenye Maonesho ya Nanenane katika mikoa ya Dodoma na Morogoro

Aug 01, 2020
2

Uzindzuzi wa Jengo la Tume Makao Makuu jijini Dosoma

Jul 23, 2020
0
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Jaji Mkuu Mst. Hamid Mahmoud Hamid (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (wa pili kushoto) wakati wa kikao cha ushirikiano kati ya tume hizo kilichofanyika Unguja visiwani Zanzibar. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji Mst. Mbarouk Salim Mbarouk na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ZEC Mhe. Mabruok Jabu Makame.
Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (watano mstari wa mbele).
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (wanne mstari wa mbele).
Wakuu wa Idara na vitengo wa NEC
Wakuu wa Idara na Vitengo wa ZEC.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (kulia aliyekaa), akitoa maelekezo wa Wakurugenzi wa Uchaguzi wa NEC (kulia) Dkt. Wilson Charles na wa ZEC Thabit Idarous Faina ambaye alikuwa Katibu wa kikao hicho kabla ya kikao kuanza.
Wajumbe wa kikao na waalikwa wakifuatilia kikao

Kikao cha Ushirikiano kati ya NEC na ZEC kilichofanyika mjini Unguja visiwani Zanzibar

Jul 08, 2020
7
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (wa pili kushoto) akiwa na Mjumbe wa Tume Jaji Mst. Mary Longway (wa nne) na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles, wakiongozwa na Mkurugenzi Ofisi ya Tume Zanzibar Hamidu Mwanga kukagua ukarabati wa jengo la Tume Ofisi ya Zanzibar liliopo mjini Unguja.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar, Hamidu Mwanga akimueleza jambo Mwenyekiti wa Tume Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles wakati walipotembelea na kukagua ujenzi wa jengo la Tume Ofisi ya Zanzibar liliopo mjini Unguja.
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar, Hamidu Mwanga akimueleza jambo Mwenyekiti wa Tume Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (wa pili kushoto) aliyeongoza na Mjumbe wa Tume Jaji Mst. Mary Longway (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles wakati walipotembelea na kukagua ukarabati wa jengo la Tume Ofisi ya Zanzibar liliopo mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (katikati) akiwa kwenye picha na wajumbe na watendaji wa Tume baada ya kutembelea na kukagua ukarabati wa jengo la Ofisi ya Tume Zanzibar iliyopo mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (katikati) akiwa kwenye picha na wajumbe na watendaji wa Tume baada ya kutembelea na kukagua ukarabati wa jengo la Ofisi ya Tume Zanzibar iliyopo mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (katikati) akiwa kwenye picha na wajumbe na watendaji wa Tume baada ya kutembelea na kukagua ukarabati wa jengo la Ofisi ya Tume Zanzibar iliyopo mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (katikati) akiwa kwenye picha na wajumbe na watendaji wa Tume baada ya kutembelea na kukagua ukarabati wa jengo la Ofisi ya Tume Zanzibar iliyopo mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Rufaa Semistocles Kaijage (katikati) akiwa kwenye picha na wajumbe na watendaji wa Tume baada ya kutembelea na kukagua ukarabati wa jengo la Ofisi ya Tume Zanzibar iliyopo mjini Unguja.

Mwenyekiti atembelea jengo la Tume la Ofisi ya Tume Zanzibar

Jul 05, 2020
8
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 leo jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali kujadili maadili hayo ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kisheria kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Tixon Nzunda akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa niaba ya Serikali.Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Wilson Charles.
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa niaba ya chama chake.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Mnyika akisaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Viongozi wa Vyama vya Siasa walioshiriki Mkutano wa Kujadili Maadili ya Vyama vya Siasa uliofanyika leo Mei 27, 2020 jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa kujadili na kusaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

Tume, Vyama vya Siasa na Serikali vyasaini Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2020

May 27, 2020
6
  • «
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • »

Habari Mpya

  • Tume yamtangaza Dkt. Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 28, 2020
    October 31, 2020
  • Tume yaongeza siku tatu kwa wasimamizi wa uchaguzi kuapisha mawakala wa vyama vya siasa kwa ajili ya uchaguzi
    October 23, 2020
  • Tume yafanya uamuzi wa rufaa 616 zilizowasilishwa na wagombea ubunge na udiwani
    September 18, 2020

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Orodha ya Madiwani Wateule wa Viti Maalum walioteuliwa na Tume katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
  • Orodha ya Madiwani Wateule wa Viti Maalum wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
  • Orodha ya Wagombea wa Kiti cha Rais
  • Orodha ya Wagombea Ubunge
  • Wagombea waliopita bila kupingwa

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 10923, Dar es Salaam, Foreign Affairs Building, Shaaban Robert Street and Garden Avenue
  • Namba ya Simu : +255 22 2114963-6
  • Nukushi : +255 22 2116740, +255 22 2127075
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume.
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2021 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi