• slidebg2
  Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kutumia Gari la Matangazo katika Manispaa ya Morogoro ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3 hadi 9 Februari mwaka huu wa 2020.
 • slidebg2
  Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari amefungua mafunzo kwa watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Morogoro ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari mkoani humo. Mhe. Asina ameambatana na Mjumbe mwingine wa Tume, Mhe. Jaji (Mst) Mary Longway pamoja na maafisa wa Tume.
 • slidebg2
  Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Mst) Marrystella Longway akiongea na Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wakati wa Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayofanyika leo katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
 • slidebg2
  Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wakiwa katika mafunzo kwa vitendo juu ya matumizi ya mashine za BVR wakati wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
 • slidebg2
  Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, wakila kiapo cha kutunza siri na kujitoa uanachama wa chama cha siasa kabla ya kuanza kwa mafunzo maalum ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
 • slidebg2
  Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wakila kiapo wakati wa Mafunzo maalum ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo.

Matokeo ya Uchaguzi

Matokeo ya uchaguzi


Soma zaidi

Vituo vya Uandikishaji

Vituo vya kujiandikisha


Soma zaidi

Uhakiki

Uhakiki


Soma zaidi

Elimu ya Mpiga Kura

Elimu ya Mpiga Kura ni elimu ambayo hutolewa kwa wananchi w...
Soma zaidi

Habari Mpya

Angalia Zaidi

NEC TV

65105
Vituo vya Kupigia Kura
23161440
Waliojiandikisha
390
Wabunge
5350
Idadi ya Madiwani