Utawala
Katika
kutekeleza majukumu yake, Tume husaidiwa na Menejimenti au Sekretarieti ambayo
Mwenyekiti wake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi na Katibu ni Mkurugenzi wa Utawala na
Menejimenti ya Rasilima Watu. Wajumbe wa Menejimenti ni Wakuu wa Idara na
Vitengo.
Tume ina Idara 5 na
Vitengo 4 vinayoongozwa na Manaibu Makatibu na Wakurugenzi kama ifuatavyo:-
(i) Idara
ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu;
(ii) Idara ya Mipango;
(iii) Idara ya Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura;
(iv) Idara ya Uendeshaji
Uchaguzi;
(v) Idara ya Habari na Elimu
ya Mpiga Kura;
(vi) Kitengo cha Fedha na
Uhasibu;
(vii) Kitengo cha Ukaguzi wa
Ndani;
(viii) Kitengo cha Huduma za
Sheria; na
(ix) Kitengo cha Ununuzi, Ugavi na Menejimenti Lojistiki.
MENEJIMENT YA TUME