Habari

​Watumishi Tume waadhimisha Sherehe za Meimosi mwaka 2017 jijini Dar es salaam.

Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wameungana na wafanyakazi wengine kote nchini kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani , Meimosi iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

2017-05-03 11:28:00

TUME yatangaza nafasi wazi ya kiti cha Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Mhe. Dk.Elly Marko Macha

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe....

2017-05-03 11:05:27

Watumishi wa Tume waaswa kuzingatia maadili na kanuni za Utawala Bora

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Jaji (R) Semistocles Kaijage amewataka watumishi wa tume hiyo wazingatie maadili na kanuni za utawala bora ili kutekeleza kwa ufanisi jukumu la Tume katika kuk...

2017-03-27 10:49:50

Kuchukua au kuizuia Kadi ya kupigia Kura ya mtu ni kosa kisheria

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewatahadharisha watu wanaochukua kadi za kupigia kura za wenzao na kuzizuilia au kubaki nazo kuwa ni kinyume cha Sheria.

2017-02-16 14:25:57

Vyama vya siasa vyatakiwa kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa usahihi bila kuegemea Itikadi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevihimiza vyama vya siasa kutoa elimu ya mpiga kura kwa wapiga kura na wanachama wao bila ya kuegemea itikadi ya vyama vyao kwani sio wote wanaowaelimisha ni wanachama wao.

2017-02-16 11:30:01

Wananchi Dimani wapiga Kura kwa Amani na Utulivu,Mshindi wa nafasi ya Ubunge atangazwa.

Wananchi wa Jimbo la Dimani visiwani Zanzibar leo wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali kupiga kura kumchagua Mbunge atakayewaongoza kwa kipindi cha miaka miaka 4.

2017-01-22 16:14:51