• slidebg2
  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia yupo Wilayani Liwale akiongoza ujumbe wa makamishna na maafisa wa Tume kuhakikisha maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi yanakwenda vizuri. Uchaguzi huo unafanyika kesho Tarehe 13.10.2018.
 • slidebg2
  Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Kata za King’ori na Majengo wakikagua vifaa kwa ajili ya zoezi la kupiga kura litakalofanyika hapo kesho tarehe 13/10/2018 . Zoezi hili la ukaguzi wa vifaa linafanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
 • slidebg2
  Wajumbe na Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao wameongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mbarouk Salim Mbarouk wakipata maelezo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa madiwani katika Kata za King’ori na Majengo zilizopo Halmashauri ya Meru, Mkoani Arusha. Uchaguzi huo utafanyika kesho tarehe 13/10/2018.
 • slidebg2
  Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo ikiwa ni maandalizi kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Liwale, Mkoani Lindi. Uchaguzi huo unafanyika siku ya Jumamosi Tarehe 13, Oktoba 2018.
 • slidebg2
  Wajumbe na maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage wakiwa wamesimama kwa dakika moja kuwaombea waliopoteza maisha kwenye ajali ya MV Nyerere iliyotokea huko kisiwani Ukara mkoani Mwanza kabla ya kuanza kikao na wajumbe na maafisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar, Hamid Mahmoud Hamid.
 • slidebg2
  Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi washiriki wa Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo, jijini Dodoma leo.

Matokeo ya Uchaguzi

Matokeo ya uchaguzi


Soma zaidi

Vituo vya Uandikishaji

Vituo vya kujiandikisha


Soma zaidi

Uhakiki

Uhakiki


Soma zaidi

Elimu ya Mpiga Kura

Elimu ya Mpiga Kura ni elimu ambayo hutolewa kwa wananchi w...
Soma zaidi

Habari Mpya

Angalia Zaidi

NEC TV

65105
Vituo vya Kupigia Kura
23161440
Waliojiandikisha
390
Wabunge
5350
Idadi ya Madiwani