• slidebg2
  Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakifuatilia mjadala wa kujadili Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
 • slidebg2
  Mwenyekiti wa Tume Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akiongoza mjadala wa viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.Wengine ni baadhi wa wajumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wakifuatilia mjadala huo.
 • slidebg2
  Mwenyekiti wa Tume Jaji Semistocles Kaijage akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Tume na Viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
 • slidebg2
  Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe (suti nyeusi), Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Dk. Gabriel Chitupila na baadhi ya Maafisa wa NEC wakikagua vituo vya kupigia Kura katika Kata ya Biturana wilayani humo itakayofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani Januari 19, 2019.
 • slidebg2
  Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Dk. Gabriel Chitupila akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe (suti nyeusi) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Biturana mara baada ya kutembelea Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Nengo wilayani humo.
 • slidebg2
  Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe (suti nyeusi), Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe Dk. Gabriel Chitupila na baadhi ya Maafisa wa NEC wakiangalia orodha ya majina ya Wapiga Kura iliyobandikwa nje ya Kituo cha Kupigia Kura kilichojengwa katika eneo la wazi la uwanja wa Mpira wa Magereza katika Kata ya Biturana wilayani Kibondo. Kata hiyo inafanya uchaguzi mdogo wa Udiwani Januari 19, 2019.

Matokeo ya Uchaguzi

Matokeo ya uchaguzi


Soma zaidi

Vituo vya Uandikishaji

Vituo vya kujiandikisha


Soma zaidi

Uhakiki

Uhakiki


Soma zaidi

Elimu ya Mpiga Kura

Elimu ya Mpiga Kura ni elimu ambayo hutolewa kwa wananchi w...
Soma zaidi

Habari Mpya

Angalia Zaidi

NEC TV

65105
Vituo vya Kupigia Kura
23161440
Waliojiandikisha
390
Wabunge
5350
Idadi ya Madiwani