• English
  • |
  • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara   |  
  • Staff Mail

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Wajumbe wa Tume
    • Dira na Dhima
    • Jinsi NEC Ilivyoanzishwa
  • Uchaguzi
    • Mifumo ya Uchaguzi
    • Mzunguko wa Uchaguzi
    • Uchaguzi Mkuu
    • Uchaguzi Mdogo
    • Matokeo ya Uchaguzi
    • Kura ya Maoni
  • Wapiga Kura
    • Vituo vya Uandikishaji
    • Takwimu za Wapiga Kura
    • Elimu ya Mpiga Kura
    • Uhakiki
  • Machapisho
    • Sheria za Uchaguzi
    • Kanuni za Uchaguzi
    • Ripoti
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Taarifa wa Umma
    • NEC Online TV
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Zabuni
    • Zabuni za Ndani
    • Zabuni za Kimataifa
  • Mawasiliano
  • Blogu ya Tume

Kupiga Kura

Ibara ya 5 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempa haki kila raia aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane kupiga kura.Kwa mujibu wa vifungu vya 13(1), 13 (2), 35C, 61 (3)(a) na 63(1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 pamoja na kifungu cha 38 (1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Madiwani), Sura ya 292,Ili mtu aweze kupiga kura anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

(i) Awe amejiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura:

(ii) Awe ana Kadi ya Mpiga Kura iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi;

(iii) Awe katika kituo alichojiandikisha kupiga kura

Sheria ya Taifa ya uchaguzi inamruhusu mtu kupiga kura kwa kufuata utaratibu ufautao:

(i) Mpiga Kura anatakiwa kwenda kwenye kituo cha kupigia kura alichojiandikisha akiwa na kadi yake ya kupigia kura.

(ii) Mpiga kura anatakiwa kupanga mstari akiwa kituo cha kupigia kura na kusubiri hadi zamu yake ya kupiga kura itakapowadia.

(iii) Mpiga kura anatakiwa afuate maelekezo yote atakayopewa na msimamizi wa kituo muda wote akiwa kituoni.

(iv) Baada ya kumaliza kupiga kura, mpiga kura anatakiwa kurudi nyumbani.

Habari Mpya

  • Jaji Kaijage : Wananchi jitokezeni kupiga kura uchaguzi mdogo wa udiwani kata 3 za Tanzania Bara.
    January 28, 2019
  • Tume yatangaza Uchaguzi mdogo katika Kata ya Biturana na Mwanahina
    December 18, 2018
  • Tume yawataka Wasimamizi wa Uchaguzi kuzingatia Sheria na Taratibu za Uchaguzi
    December 11, 2018

Nifanyaje?

  • Kujiandikisha Kupiga Kura
  • Kupiga Kura

Machapisho

  • Uchaguzi Mkuu wa 2015
  • Safu ya Menejimenti
  • Uchaguzi wa Madiwani Mwaka 1994
  • Uchagzi Mkuu wa Mwaka 1985
  • Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wa Mwaka 1980

Mawasiliano yetu

  • Address : P.O.Box 10923, Dar es Salaam, Ghana and Ohio Street
  • Namba ya Simu : +255 22 2114963-6
  • Nukushi : +255 22 2116740, +255 22 2127075
  • Barua Pepe : uchaguzi@nec.go.tz
  • Tovuti : www.nec.go.tz

Linki za Haraka

  • Maktaba ya Tume
  • Majukumu ya Msingi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Msajili wa Vyama vya Siasa

Kuwa karibu nasi

Jiunge na orodha ya baruapepe zetu ili uhabarishwe na kupata notisi kuhusu taarifa zetu mpya

Tufuatilie

@2019 Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haki zote zimehifadhiwa

  • Ramani ya Tovuti
  • Wasiliana Nasi