The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KUZUNGUMZIA UCHAGUZI MKUU

News


MWALIKO WA ASASI ZA KIRAIA ZITAKAZOTOA ELIMU YA MPIGA KURA KUWASILISHA NYENZO - Jul 2, 2010   New!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa Asasi zisizo za Kiserikali, Asasi za Kijamii, Asasi za Kiraia na Asasi za Kidini zinazotaka kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 kuwasilisha maombi ya kutoa Elilmu ya Mpiga Kura, nyenzo na zana watakazotumia kutoa Elimu ya Mpiga Kura ili ziweze kupitiwa na Tume na kuhakikiwa.


Tume yatoa mwaliko wa Kutazama Uchaguzi Mkuu - Jun 11, 2010   New!

Tume yaalika watazamaji wa Uchaguzi katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010


Wapiga Kura kupewa nafasi ya kuhamisha taarifa zao kwaajili ya uchaguzi Mkuu - Jun 11, 2010   New!

Wapiga Kura Wapewa nafasi ya kuhamisha taarifa zao kwaajili ya Uchaguzi Mkuu


Tume kutobadilisha siku ya Kupiga Kura - May 28, 2010   New!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi haitabadili siku ya Kupiga Kura kama ilivyopendekezwa na baadhi ya viongozi wa Dini


Tume yaongeza siku za Uboreshaji Mkoa wa Dar es Salaam - May 4, 2010   New!

Tume imeamua koungeza siku mbili za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoa wa Dar es salaam ili walioshindwa kujiandikisha wajiandikishe


Tume Yatangaza Majimbo mapya ya Uchaguzi - May 4, 2010   New!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza Majimbo mapya ya Uchaguzi na tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa 2010

image Election Results Database
 
Election Type
Election Year
Region
District
Consituency
Ward
 
   
image Elected Candidate Profile
MBARUK KASSIM MWANDORO [CCM]
MKINGA Constituency
More Elected Candidate>>

image Registration Status

image

Click appropriate link to view your status

Email
image Election Results in Map Presentation


Click to view Election Results
image Visitors at this site
There have been 430637 visitors to this websiteThere have been 430637 visitors to this websiteThere have been 430637 visitors to this websiteThere have been 430637 visitors to this websiteThere have been 430637 visitors to this websiteThere have been 430637 visitors to this website
User online : 10
images Speeches
MKURUGEZI WA UCHAGUZI ATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI WA WABUNGE
HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
More Speeches
images Ask the Director of Elections

R.R. Kiravu - Director of Elections

R.R. Kiravu
Director of Elections
images Documents and Publications
images WebMail Login
images
Click to read Mail
(Staff only)
images Photo Gallery

images
More Photos

images Calendar of Events
 <<  < Sep 2010 >   >>
SMTWThFS
1234
5678
9
1011
12131415161718
19202122232425
2627282930