• slidebg2
  Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Uchaguzi Kanda ya Pwani kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Stephen Elisante akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wa ngazi ya Jimbo la Kinondoni na Kata za jimbo hilo kwenye mafunzo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Februari 17, 2018.
 • slidebg2
  Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Boniface Lihamwike akiwaapisha wasiamamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni na kata zake wakati wa mafunzo ya maandalizi ya Uchaguzi Mdogo.
 • slidebg2
  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari nje ya mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa.
 • slidebg2
  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja viongozi kutoka vyama vyama vya siasa 19 vilivyoshiriki mkutano wa Tume na vyama vya siasa.
 • slidebg2
  Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria mkutano baina ya vyama vya siasa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jijini Dar es Salaam leo (Jumapili), ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mdogo wa wabunge na madiwani kwenye Majimbo Matatu na Kata Sita utakaofanyika Januari 13, 2018 na Majimbo mengine Mawili na Kata Nne utakaofanyika Februari 17, 2018.
 • slidebg2
  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ramadhan Kailima akiwasilisha mada kwenye mkutano baina ya vyama vya siasa na NEC Jijini Dar es Salaam leo (Jumapili), ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mdogo wa wabunge na madiwani kwenye Majimbo Matatu na Kata Sita utakaofanyika tarehe 13, Januari, 2018 na Majimbo mengine Mawili na Kata Nne utakaofanyika Tarehe 17, Februari, 2018.

Matokeo ya Uchaguzi

Matokeo ya uchaguzi


Soma zaidi

Vituo vya Uandikishaji

Vituo vya kujiandikisha


Soma zaidi

Uhakiki

Uhakiki


Soma zaidi

Elimu ya Mpiga Kura

Elimu ya Mpiga Kura ni elimu ambayo hutolewa kwa wananchi w...
Soma zaidi

Habari Mpya

Angalia Zaidi

NEC TV

65105
Vituo vya Kupigia Kura
23161440
Waliojiandikisha
264
Wabunge
3946
Idadi ya Madiwani