• slidebg2
  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (wa pili kulia) akiagana na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mlowa Bwawani baada ya kutembelea kata hiyo kuangalia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa kata hiyo unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, 2018.
 • slidebg2
  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (wa pili kushoto) akimsaidia Msimamizi Msaidiz wa Uchaguzi Kata ya Mlowa Bwawani Luis Pearson, kuweka bango la Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Mlowa Bwawani.Kulia kwao ni Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Mtera Elizabenth Gumbo na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata hiyo Cleopa Leuna.
 • slidebg2
  Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Mtera, Elizabenth Gumbo (kushoto) akimueleza jambo Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salim Mbarouk ( wa pili kulia) kuhusu maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani kata ya Mlowa Bwawani kwenye ofisi ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mlowa Bwawani (Cleopa Leuna ( wa tatu kulia na Luis Pearson).Kulia ni Mwanasheria wa NEC Hamidu Mwanga.
 • slidebg2
  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (kulia) akimueleza jambo Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Mtera mkoani Dodoma, Elizabenth Gumbo (kushoto) wakati alipotembelea kata ya Mlowa Bwawani. Kulia ni Mwanasheria wa NEC, Hamidu Mwanga.
 • slidebg2
  Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Mtera, Elizabenth Gumbo (kushoto) akieleza maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani kata ya Mlowa Bwawani kwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salim Mbarouk (katikati).Kulia ni Mwanasheria wa NEC Hamidu Mwanga.
 • slidebg2
  Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Salum Kassim Ali (kulia), akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kutoka kulia) na watendaji wengine wa NEC jana mjini Zanzibar.

Matokeo ya Uchaguzi

Matokeo ya uchaguzi


Soma zaidi

Vituo vya Uandikishaji

Vituo vya kujiandikisha


Soma zaidi

Uhakiki

Uhakiki


Soma zaidi

Elimu ya Mpiga Kura

Elimu ya Mpiga Kura ni elimu ambayo hutolewa kwa wananchi w...
Soma zaidi

Habari Mpya

Angalia Zaidi

NEC TV

65105
Vituo vya Kupigia Kura
23161440
Waliojiandikisha
390
Wabunge
5350
Idadi ya Madiwani